Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,886
Nimekuwa nawaza kuna makongamano, sadaka na malipo fulani fulani kwenye organization. Hivi TRA huwa wanakusanya namna gani ushuru au kodi? Unakuta kwenye makanisa pesa nyingi sana zinakusanywa na zote anakula mchungaji wakati serikali inamlinda na yeye hachangii chochote.
Vile vile kuna haya makongamano. watu wanatozwa kiingilio pesa zote wanakula wao. Ninaomba tu nifahamu hivi haiwezekani zitozwe kodi.
Ni ufahamu tu.
Vile vile kuna haya makongamano. watu wanatozwa kiingilio pesa zote wanakula wao. Ninaomba tu nifahamu hivi haiwezekani zitozwe kodi.
Ni ufahamu tu.