FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
- Thread starter
- #81
Africa bila malaria inawezekana. Mheshimiwa Majaliwa aunde tume ya uchunguzi na majaribio juu ya matumizi, ufanisi, ubora, faida na madhara ya dawa aina ya DDT katika kupambana na mbu wa malaria