Hivi ni kwanini Marekani hakuna malaria?

Hivi ni kwanini Marekani hakuna malaria?

Malaria ni tropical disease.

Dah humu kuna watu weupe sana kichwani.

Swaziland, Lesotho ni nchi maskini kupindukia na hakuna maralia. Nchi nyingi za africa zilizo upande wa ikweta ndio zenye tatizo hili la maralia. Nliishi Amani Tanga, sikuwahi ona watu wakiumwa maralia. Ingawa tulikua twaishi karibu na msitu mkubwa na tukilala bila chandarua wala kua na dawa ya mmbu.

hakukua na mmbu kwakua ni baridi throughout the year.

same mataifa ya kusini mwa Africa, na mataifa ya north Africa ambayo huko mpaka snow inaanguka.
 
Dah humu kuna watu weupe sana kichwani.

Swaziland, Lesotho ni nchi maskini kupindukia na hakuna maralia. Nchi nyingi za africa zilizo upande wa ikweta ndio zenye tatizo hili la maralia. Nliishi Amani Tanga, sikuwahi ona watu wakiumwa maralia. Ingawa tulikua twaishi karibu na msitu mkubwa na tukilala bila chandarua wala kua na dawa ya mmbu.

hakukua na mmbu kwakua ni baridi throughout the year.

same mataifa ya kusini mwa Africa, na mataifa ya north Africa ambayo huko mpaka snow inaanguka.
"Marekani ilifanikiwa kutokomeza malaria miaka ya 1950", kama kauli hii inaukweli maana yake malaria ilikuwapo hapo awali
 
We unakichaa.
Through the groups' combined efforts, the U.S. officially eradicated malaria in 1951. The CDC, though, still remains very involved with malaria research around the globe.

  • s-a54ba2a0e905f3c4db2cfa25ce3ee0975133a962-s700-c85.jpg
Source: How The U.S. Stopped Malaria, One Cartoon At A Time
Note: Sina kichaa
 
jamani mi nimekulia dar tangu nzaliwe...nliwahi kuumwa malaria mara kwa mara nkiwa primary..bt nlipofika miaka 12 mwaka 2005 sijaumwa malaria mpaka leo hii..lakini nnaoishi nao nyumbani wanaugua malaria kila baada ya mda..hata mazingira ikifika jioni kuna mbu sana wanashambulia hatari.mda meingine najisahau bila kuchomeka neti mbu wananingata sana.
sasa nna zaid ya miaka kumi siijui hospitali wala malaria,wala typhoid wala ugonjwa wowote. nlizoea ile harufu bt now nkiingia hospital ile harufu ya madawa nkiiskia najiskia kutapika kweli.je ntakuwa na nini kwenye mwili wangu?
 
Kwenu kuna penguin au kangaroo? Jiulize sababu!
 
Je, wamarekani wana damu chungu?
Walitumia dawa ya DDDT kutokomeza mazalia enzi hizo kabla yakupigwa marufuku kutotumika popote duniani .Dawa ya DDDT nikiboko ikipigwa mahali Mbu azaliwi hapo labda ipite miaka sio chini ya 15 .dawa hiyo pia hipo iliyo boreshwa ataa Mwaka 2010 Tanzania tulipendekeza kuitumia ila kuna wanaharakati na NGO uchwara wakashikia bango tusitumie na kweli serikali ikasarenda tunanyimwa kibali chakuitumia .hiyo dawa ndio siri ya marekani kuwa free malaria ,marekani malaria ni uende nayo
 
Kuna kipindi early 2000s SOUTH AFRICA nao hawakuwa na malaria! New Delhi pia sikuwahi kuskia kitu Malaria.
New Delhi na Asia kwa ujumla ndio nyumbani kwa malaria .inawezekana ndio waliotuambukiza Africa .binafsi nakumbuka malaria Tanzania imeanza kuwepo miaka 1972 tena sehemu kabla ya kuenea nakuwa janga .Delhi ni juhudi tuu wanafanya kama ilivyo Zanzibar iliyofanikiwa kiasi kikubwa kutomeza malaria mpaka kufikia kutajwa kama eneo lisio na malaria
 
Mbu wataishi kwenye theruji kweli ? Thubutu ! Kule labda kansa na mafua tuu, na labda High BP..
 
Wenzetu kampeni ya malaria wanaifanya serious kweli kweli...........hii inawezekana hata hapa nchini.......kinachotakiwa ni commitment kati ya viongozi na raia kuhakikisha wakianza kampeni ni hadi wanamaliza mazao ya mbu yanatokomezwa.......maana ukimaliza mbu malaria labda asambaze nzi........ila kwa bahati mbaya sisi tanzania tupo busy na kampeni tokomeza tembo.......tokomeza misitu ya asili......na kampeni tokomeza elimu bora.......hivyo tunafanikiwa sana katik kuelekea taifa lililonyuma kimaendeleo kuliko yote afrika kama somalia......
 
Back
Top Bottom