Kwenu ni wapi mkuu nije huko ndo kunanifaaZinakopesheka bana!
Huku kwetu unapewa mke na unaambiwa "KATAFUTE MAHARI KWA UTULIVU NA MKEO"
Sasa nyie vijana wa mjini "ubabaishaji mwingi" ndio maana hampewi mke mpaka mtoe mahari. Ova.
Aise hiyo ndo nzuri mi naona hiyo sheria ingepitishwa kabisa kiserikaliMshkaji wangu anafanya kazi wizarani, kaoa ndoa ya kanisani miaka 4 sasa na wamezaa watoto wawili ila hajawahi kulipa hata mia. Alikopeshwa mahari kwa utaratibu huohuo wa kuandikishana.
Mpige Mimba tu, utapewa hata burePia WAZEE wapunguze bei Ya MAHALI
VIJANA TUWOWE
Nimefikiria hili jambo nikagundua laiti mahari yangekuwa yanakopesheka wasichana wengi wangekuwa kwa waume zao maana kuna walioshindwa kuoa kwa kukosa mahari,na kuna waliobaki na pete za uchumba baada kwa kuachwa na mwanaume kwa kukosa hela ya mahari kwa gharama kubwa..
Laiti hii sheria ingebadilishwa labda kukawa na wadhamini pale mwanaume umempenda mwanamke na mwanamke akakubali kuolewa kama uwezo wa mahari hauna ukaruhusiwa kuoa kukawa na form maalum ya kujaza kuwa unadaiwa mahari kiasi fulani na mtu fulani hapa baadae baada ya kuishi ndo ulipe,,hii naona ingesaidia madada zetu kuolewa na kupungua kuzeekea nyumbani..
Naomba kuwasilisha..
Bora umemuulizaUnaivyoitindua ' Mbunye ' ya Watu huwa unakuwa na huruma nayo? Tuanzie hapa Kwanza.
Ni mila tulizozikuta hasa waafrika...huwezi kwepa wala kopeshwa mahari labda ukaoe ulayaHuruma ya nini wakati raha tunapata wote na gharama naingia vilevile
Kuna sababu zaidi ya hilo suala la mahari..na ndio maana kuna utoaji wa mahari nusu hiyo nyingine mtajuana wenyeweHiyo sheria ingebadilishwa nadhani dada zetu wasingezekea nyumbani
Sina maana hiyo mkuu mi niliuliza tuu sio kwamba nimeshindwa kutoa mahari ila naona kama kuna walioshindwa kuoa kwa kukosa mahariKuna sababu zaidi ya hilo suala la mahari..na ndio maana kuna utoaji wa mahari nusu hiyo nyingine mtajuana wenyewe
Anyway..nikuambie tu kaka angu tafuta pesa peleka mahari kwa wazazi wa binti wa watu acha kupenda vya mkopo