SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Vizuri! ila kuna mdogo wangu hapa ananiuliza eti.., hiyo hemes ikiwa na rangi ya blue kuna ubaya kwani.., anapendelea angalau hemes zenye rangi ya kijani..!!! hahah..., jus kidding.., big..up!Damu ni nyekundu kwa sababu inaundwa na chembechembe zilizo nyekundu.
Chembehai nyekundu zimetengenezwa na hemoglobin, ambazo zimetengenezwa na hemes, ambazo huipa hemoglobin rangi nyekundu.
UCSB Science Line sqtest
Vizuri! ila kuna mdogo wangu hapa ananiuliza eti.., hiyo hemes ikiwa na rangi ya blue kuna ubaya kwani.., anapendelea angalau hemes zenye rangi ya kijani..!!! hahah..., jus kidding.., big..up!
Damu ni nyekundu kwa sababu inaundwa na chembechembe zilizo nyekundu.
Chembehai nyekundu zimetengenezwa na hemoglobin, ambazo zimetengenezwa na hemes, ambazo huipa hemoglobin rangi nyekundu.
UCSB Science Line sqtest
Mi huwa najiulizaga mpaka natoka machozi ndani ya ubongo, ila nimeona niache tu.., unaweza kupata uchizi bure..kama chembe hai nyekundu zimetengenezwa na hemes, ni kitu gani au nani basi amefanya, ameunda, ametengeneza au ameumba hivyo vyote vitokee?
Imani ni ugonjwa wa akili.Mwanzoni damu ilikuwa nyeupe kama theluji lakini baada ya dhambi za ulimwengu huu damu ikageuzwa kuwa nyekundu ili kuwafanya wanadamu wakumbuke kutubu.
hapa issue sio jina..., ni ule wekundu wadamu ndio huwa unatisha sana.., sio jina la rangi..Rangi hiyo nyekundu ingeweza kuitwa blue, njano, nyeusi, nyeupe n.k au rangi yoyote ile ingewezakuwa na jina la rangi nyingine yoyote ile sabu neno au jina ni kitu nasibu( bahati). Mf Engl Red - kisw nyekundu, yellow-njano, green-kijani na n.k. Pengine wewe ulidhamiria nini? sababu kama kuna kunakitu ndani umekidhamiria na mjuaji ni wewe pekee hebu tuchane makavu mkuu.
hapa issue sio jina..., ni ule wekundu wadamu ndio huwa unatisha sana.., sio jina la rangi..
Binafsi nilikuwa napenda niwe na rangi ya blue.., au atleast ya kijani, hata njano sio mbaya sana.., lakini nyekundu hunitisha sana hasa ninapoiangalia. hivi hakuna uwezekano wowte watu tukawa na damu za blue eti?
Nikijichoma sindano za omo vipi..uwezekano upo mkubwa sana. We fikiria wanaojichubua mpaka wanakuwa weupee kweli itashndkana damu kuwa ya blue?
hapa issue sio jina..., ni ule wekundu wadamu ndio huwa unatisha sana.., sio jina la rangi..