FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,917
Binafsi nilikuwa napenda niwe na rangi ya blue.., au atleast ya kijani, hata njano sio mbaya sana.., lakini nyekundu hunitisha sana hasa ninapoiangalia. hivi hakuna uwezekano wowte watu tukawa na damu za blue eti?
Kwani damu ni nini..Mwishowe utauliza damu ni nn.
Binafsi nilikuwa napenda niwe na rangi ya blue.., au atleast ya kijani, hata njano sio mbaya sana.., lakini nyekundu hunitisha sana hasa ninapoiangalia. hivi hakuna uwezekano wowte watu tukawa na damu za blue eti?
Kwani bangi inaweza ikaingia kwenye damu ya mvutaji ambae damu yaki ina rangi ya blue?!kuna vitu vingi sana si vizuri kwa afya ya mwanadamu kimojawapo ni bangi, bangi inaathiri afya ya akili
Kwani bangi inaweza ikaingia kwenye damu ya mvutaji ambae damu yaki ina rangi ya blue?!
Bangi haikuwa hoja.., hoja ilikuwa damu ya blue..wote wanaoiponda BANGI laana inawafata
Maswali mengine hayana hata mantiki, siku nyingine utakuja na swali la kwanin binadamu wanatembea kwa miguu miwili na sio mitatu.
Muulize aliekuumba.
Nature is not explained, take it as it is.