Hivi ni kwa Nini asilimia kubwa ya watu wanashindwa kutamka neno " Statistics"??

Kwanza: sema "Takwimu". Maana unauliza swali lako kwa Kiswahili, kjwa hiyo tumia Kiswahili.

Menginevyo, ukijisikia kuna ubora wowote kujipamba na maneno ya Kiingereza
1) acha kama hujui kuitamka
2) au tenganisha neno kwa silabi zake: sta - tis- tiks halafu tamka moja-moja
 
Wee hujakutana na "wani weya prokodishoni"

au hili "entrepreneurship"
 
Pole lakin hyo inatokana na kujifunza lugha ukubwani au mother language yako imeathiri na mna ya wewe kujifunza second languaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…