Hivi ni kwa Nini asilimia kubwa ya watu wanashindwa kutamka neno " Statistics"??

Kwanza: sema "Takwimu". Maana unauliza swali lako kwa Kiswahili, kjwa hiyo tumia Kiswahili.

Menginevyo, ukijisikia kuna ubora wowote kujipamba na maneno ya Kiingereza
1) acha kama hujui kuitamka
2) au tenganisha neno kwa silabi zake: sta - tis- tiks halafu tamka moja-moja
 
Pole lakin hyo inatokana na kujifunza lugha ukubwani au mother language yako imeathiri na mna ya wewe kujifunza second languaje
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom