Hivi ni kitu gani ulishawahi kuiba nyumbani kwenu ukampekeaga mpenzi wako kipindi ana shida

Daah...!! Mm dem wang wa enzi hizo aliniomba zawad yyte lakin nzuri alafu sina kitu basi bana nikawa sina namna akabidi niende home kupekua pekua nikakuta saa ya sista aliyopewa na bf wake ikabidi nipite nayo ivo ivo pamoja na spray ya maza mmdogo nikapeleka kwa demu siku hyo alinikiss mubashara nikaona dunia yote yangu
kimbembe kilibaki home nilipo rudi kumbe kuna dogo langu aliniona nilivyo pora hivo vitu
ngoja niishie hapo. Ila huyo demu ckuwai kumgegeda abadani.
 
Perfume na saa ya mkononi ya kike ilikuwa ndani ya kibox chake kabisa na ndan inezungushiwa kwenye kimto ni ya gharama sana hata vyote nkampelekea dem,nkapitia na kfc nkamnunulia street wise 2 alifurahi sana!!!! Nkaenda jeshini ili nimerud namkuta kashazalishwa ana mtoto tayari,ndo basi tena nmeenda kutafuta maisha ili niishi nae lakini ndo hvyo....maisha ni safari ndefu sana....hata hvyo bado natafuta may be ipo siku ntapata wa kutulia nae.
Story yako imenigusa
 
Back
Top Bottom