Hivi ni kitu gani ulishawahi kuiba nyumbani kwenu ukampekeaga mpenzi wako kipindi ana shida

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,181
3,547
Maisha ni safari ndefu sana kwa wale ambao tumepitia mambo mengi katika maisha.........

leo hii hebu kila mmoja atoe ushuhuda katika maisha yake kipindi cha nyuma hivi uliwahi kuchukua nyumbani au kuiba kitu nyumbani na ukakipeleka kwa mpenzi wako......

Mimi upande wangu kitambo sana niliwahi kuiba mchele ndani na sukari nikapelekaga kwa demu wangu .

Je wewe ni kitu gani ulishawahi kuiba nyumbani kwa ajiri ya mpenzi wako
 
hahaha umenichekesha sana jomba! aisee huyo demu wako alikua njaa sana!!
 
Back
Top Bottom