ahsante mkuu kwa maoni yako. Lkn hujamtendea haki pia Baba ambae kwa namna yoyote kwenye ndoa iliyodumu kwa upendo huwa ni mchango wa wahusika 50% kwa 50%.namtakia maisha marefu sana na yenye baraka tele mama yangu na wanawake wote wanaojua ndoa nini
kila mmoja anamajukumu yake na changamoto zake kama mzazi, hivyo kila mmoja nitamsifia kwa nafasi yake, leo imeangukia kwa mama yangu..ahsante mkuu kwa maoni yako. Lkn hujamtendea haki pia Baba ambae kwa namna yoyote kwenye ndoa iliyodumu kwa upendo huwa ni mchango wa wahusika 50% kwa 50%.
Mmmmh!!unachoongea ni kweli ila wanawake wenye moyo huo ni wale waliozaliwa kuanzia mwaka 1979 na kurudi nyuma.. ila kuanzia 1980 na kuendelea mbele mmmmh!!! aisee ni wa kutafuta na kurunzi, hata wanaume ambao wana tabia ulizoorodheshe ni wale wa kipindi cha nyuma kwa maana wanaume wengi siku hizi baada ya kushuhudia manyanyaso wanayopata mama zao nao wakaelimika, wengi wamestaaribika, kwa kuwa siku hizi mimi binafsi nashuhudia wanaume wengi sana wananyanyaswa kimapenzi na wapenzi wao kuliko wanawake, kwa hiyo tuseme mchezo umebadilika kwa nyakati hizi.
Kwa mpenzi au mume?Msamaha wa usaliti huwa siukubali
Msamaha wa usaliti huwa siukubali
Yoyote nnayempendaKwa mpenzi au mume?
Siwezi kusaliti mkuuKwa hiyo kama ni wewe uliyesaliti unajichagulia adhabu gani?
solemba!Mmmmh!!
Siwezi kusaliti mkuu
Shukran&AmenBasi sawa, Mungu akupe wa kukutendea unavyotenda.
Mkuu labda wewe na wengine ila sio mwanaume mimi.Mwanaume akipata mwanamke mtundu kitandani huwa hana maneno. Hata ajuwe mwanamke wake ana gegedwa basi hubaki kuumia moyoni tu.
Kwa Mwanamke akipata mwanaume mtundu kitandani pia awe na pesa na anampenda. Hawezi kufanya lolote hata akiwa mwanaume wake anatembea na shoga yake. Hubakia kumnunia shoga yake lakini tamaa yake na utamu wa mgegedo ndio vilivyo mponza.