Sio Mbauda tu ni Kona Mbauda🤣🤣🤣Nani tena anakaa Mbauda
Wawashe AC na wameweka petrol kidumu 🤣haiwezekani mbona kila mtu humu tumeshakubalina ana gari au AC ndio changamoto wana JF
kazi kwelikweli ngoja nisogeze hawa mbuzi kwenye jua ,mana hili banda lao lilipoka si misingi mizuri ya Animal welfare walahWawashe AC na wameweka petrol kidumu 🤣
Aisee jua linapiga dar hii
Aisee....sii mchezo. Lakini hapo sii unaenda kujipoza kwenye swimming pool ya ruangwa pride pale juuHujafika Ruangwa.. dar muingie limijo class
Ni duniani kote.Aisee jua linapiga dar hii
Serikali ichunguze hili jambo aisee.Waanze na wapinzani wa siasa hasa CHADEMA.Huyu Lissu atakuwa kaongea na wazungu watuletee hii dhahma ya juakali.Achunguzwe.😂Aisee jua linapiga dar hii
🤣🤣🤣Mkuu dodoma alipigi tuu, yani linararua mpaka nywele kichwani zinapukutika jua limesogea sijui