Hivi ni Halali?

The Kop

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
209
Reaction score
93
Hivi ni halali kwa mafisadi kuimba wimbo wa "Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote....nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama weee...." wakati wanaonesha hawana hata chembe ya huruma kwa wananchi wa "inji" hii ambao wengi wanaishi "jehanamu" wakati wao na familia zao ( KIKWETE, LOWASSA, MKAPA, CHENGE, ROSTAM, KARAMAGI, orodha ni ndefu) wanaishi peponi?

Naomba kuweka mezani!
 
Sasa unataka wasiipende. Kuipenda wanaipenda kwa sababu wanakula raha na kutajirikia kwenye nchi hii. Ukiwa na mradi unaokupa pesa mjomba, si utaupenda tu huo mradi, au?
 

mkuu! mada ipeleke jukwaa la siasa.hapa c mahali pake
 
Mh siasa inachembe za mapenzi ndaniake.
 
Wanaipenda nchi yao kwa moyo wao wote maana bila ya nchi leo hii wasingeitwa MAFISADI,sehemu unayopata mkate wako wa kila siku ni lazima utaipenda bila kujali unapataje huo mkate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…