Hivi ni dalili zipi za mtu alopewa limbwata?

IMG_3502.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wana JF Mna bahati sana, kuuleta huu uzi.Hapa sasa naomba wasome wanaume tu;;;;;; kwa sababu mimi ni mjuvi wa mambo sana , na nina uzoefu wa miaka mingi kuhusu maisha ya wanawake. wengi walinifanyizia lakini hakuna hata mmoja niliyemkubali mpaka nilipo amua mwenyewe kuoa.. kwa sababu katika ukoo wetu wa ki-chief kuoa wanawake 20 na kuendelea ni kawaida tu tena rahisi sana, nimeona hakuna maana kukaa na kitu wakati wanaume wanateseka. Angalizo;;; msidharau wazee hata kama si wa ukoo wako kaa nao wape pombe kwa wanaotumia na zawadi nyinginezo; hata kama umesomaje;;

Kuzuia limbwata lisifanye kazi ni njia rahisi Sana tu.... tena dawa unayo mwilini mwako na ukifanya dawa hii inarudi kwa mke yaani kama amejifanyia yeye mwenyewe kwa maana kwamba atazidi kukupenda isivyo kawaida kutokana na anavo ifanya dawa yenyewe hiyo yaani limbwata..... akizidisha sana yaani kukufanyia mara kwa mara ndo anakupenda zaidi na wee ndo humjali kabisaa ki aina usimfanyie waziwazi kwani atajiuliza maswali. yasokuwa na majibu then atarudi kwa mganga kuulizia. mwisho wa siku utagundulika janja yako. Wao wadada huwaga hawachoki kuulizia maujanja tofauti-tofauti hasa kwa mashoga zao vipenzi wanaofichiana siri.dawa yenyewe ni mate ya kwa mudomo yako mwenyewe jitahidi uunganishe kijanja na mate yake vikutane kwenye papuchi then mkubwa baba sokomeza, fanya hivi;;; mwambie aanze yeye kulainisha papuchi yaani wewe kabla ya match jifanye ni kavu sana. jisemee akisikia hajaweza kuilainisha vya kutosha ongezea sasa wewe mate yako hapo kwenye mshedede wake hapa ni sehemu ya manuizo yako. twanga sasa kazi matokeo utayaona.

Hapa naomba niseme kwamba kwa jinsi tendo linavo endelea kufanyika kwa siku hiyo dawa inazama damuni, sasa katika hatua hii jua kwamba yeye atatumia mdomo wake kuongea kwa mganga au mtu yeyote kuhusu wewe au kunuizia hapo ndo mambo yana jigeuza sasa na kuwa kinyume.......ila msiijaribu saaana kwa wadada ambao ni innocent..(utampenda wewe) japokuwa ni rahisi mno. hii ni komesha kwa anayefanya limbwata tu.

Tatizo kubwa na masharti ya hii dawa.uwe mpole kwenye familia yako, usiwe mapepe wala mtu ambaye hau-jalijali hivi. pia usipige mashine nje zaidi yake. nasema hivo kwa sababu wanawake ni wajanja sana kugundua nguvu hizi pindi ukionja kwa mchepuko wako kwa sababu utakuwa umechanganya ule utamu wa down. ila kuna njia ya kuzuia hii hali isikutokee kama wewe huwezi jizuia mfano mdogo tu ukijisafisha na mkojo wa mbwa jike ambaye anatumika ......kamwe hawezi gundua. hapo sasa ndo wengi wanashindwa kama hufugi mbwa.maujanja ni mengi ila nimeanza na haka kadogo tu.ipo nyingine hiyo hagombani na mchepuko wako sana atakusifia.............tutaonana bidaye ntawapa no; za simu yangu
 
pole sana mkuu

Duh! hatare sana hii, mikojo ya mbwa jike tena? sipati picha unakuta jamaa anasubiria kukinga mkojo wa mbwa jike ambae hajatumika.
 
Kuna Mtu kasema asilimia 70 ya wanaume wamepewa limbwata, akasema kama unabisha fanya uchunguzi, akasema

1.Tabia ya mwana mke kuingia ndani saa zaid ya nne usiku alafu mwanaume kashalala na haulizwi chochote

2.Mwanaume kutoka safari anaambiwa chakula kipo hapo kwenye pot jipakulie wakati mke anaangalia TV au anaendelea na ishu zake nyingine

3.Watoto wanafanya makosa anasema subiri mama yenu aje anaua mtu , inamaana watoto washaona kwamba baba si kitu

4.Kukoromewa na mke kwenye kadamnasi ya watu, na mwanaume akaufyafa

5.Kushika simu ya mwana mke akakukaripia ukaiacha na kusema bebi hutaniwi? Wakati simu umenunua wewe dah

6.Kukupangia ratiba kwa kukuelekeza wakati unauwezo wa kujipangia

7.Mwanamke ndo anapanga nani wa kukutembelea nyumbani wengine hawaruhusiwi kukanyaga hata kama ni ndugu,

8.Mwanamke anakulazimisha kuwachukia wote ambao kachukiana nao yeye wakati hujui hata ugomvi umeanzaje

9.Mwanamke kujipangia duka la kununua vitu ,kwamba ni lazima tuwe tunanunua kwa fulani,

10.Unapata mshahara wote unamkabidhi yeye kwanza alafu anakugawia ya kutumia kidogo,

11. Mwanamke ndo msemaji wa familia hata kama mnapanga mara zote ndo anatoka nje kukabiliana na mwenye nyumba suala la malipo ya kodi au umeme,

12.Mwanaume ambaye kila saa yuko jikoni, sisemi majiko ya kizungu,yale ya kuni kila wakati anasogeza sogeza kuni wakati mke wake yupo tu

13.Mwanamke ni mlevi kuzidi au kupindukia na mwanaume anachukulia simple tu,

14.Mkeo unamuona na mwanaume mwingine ukitaka kumsema ananua alafu we ndo unamuomba msamaha ,

15.Mwanamke anayejaza mashoga zake kwenye sebule yake nawe mwanaume ukiwepo unakuta wanawake sita we uko mwenyewe ,je huoni kasoro hapo?

16. Baadhi ya maeneo hataki muongozane anasema akutangulie mbele hataki muambatane

Kuna muda tunashindwa kutofautisha mapenzi ya kupendana kweli Na ya Limbwata

Mwanaume chukua hatua nimeona mwanaume mke wake anaingia saa 6 usiku mwanaume akajaribu kumsema, mke akaja juu, mme akasema KWANI MKE WANGU HUTANIWII?

Hizi Limbwata ni hatari
[emoji28] [emoji28] [emoji28] kuna kitu kinaitwa limbwata la Yesu, yani hili ukilipata unakuwanyang'anyang'a nisiulizwe swali ila utambue kuna mambo ni upendo tu hayahitaji mfumo dume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom