Hivi ni dalili zipi za mtu alopewa limbwata?

Hivi ni dalili zipi za mtu alopewa limbwata?

Hahahahaha,, yan mtu unampa msaada wa kimsaidia matatizo yake anaenda tena kumuadisia mama watoto fulani kaniambia kitu fulani ama kweli limbwata nyoko

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Alafu ukikutana na shemeji yako kesho yake anakuangalia kama choo, saa nyingine anajitetea kwamba ulimtaka akakukataa ndo maana
 
Dalili moja kubwa sana ni ile mwanaume kupenda kunusa harufu ya K kuliko harufu ya nanasi.

Nyingine ni kunyonya papuchi muda mrefu kuliko muda anaotumia kuitoboatoboa,,, dalili ndogo ni kama kumsaidia kuosha vyombo, kudeki, kutandika kitanda, kumlisha mtoto, kuanua nguo, kufua, kupika na nyinginezo kama hizo
 
Dalili moja kubwa sana ni ile mwanamke kupenda harufu ya K kuliko harufu ya nanasi.

Nyingine ni kunyonya papuchi muda mrefu kuliko muda anaotumia kuitoboatoboa,,, dalili ndogo ni kama kumsaidia kuosha vyombo, kudeki, kutandika kitanda, kumlisha mtoto, kuanua nguo, kufua, kupika na nyinginezo kama hizo
Dah hii kitu hiii
 
Hahaha kumbe unakausha kama huwaoni hehehe kumbe wanaonwa ka kichwa kidogo
Hivyo hivyo hahaa... hapo unakuwa umeletewa nyama nyumbani kabisa hakuna sababu ya kwenda kuitafuta huko nje mbali ... tena mashoga wanavyo penda kuwasaliti wenzao Asikwambie mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo hivyo hahaa... hapo unakuwa umeletewa nyama nyumbani kabisa hakuna sababu ya kwenda kuitafuta huko nje mbali ... tena mashoga wanavyo penda kuwasaliti wenzao Asikwambie mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubovu wao wanatakaga kupindua kabisa kufanya mapinduzi kama yale ya Zanzibar
 
Back
Top Bottom