Niutoto tuu wakikia wataacha tabia hiyo wala usijali....
Sasa unafuga ugonjwa... Timua huyo mfitini arudi kwa mama yake akafanyie ushenzi huko
Hapo bold tuko pamoja sana.Na kama hali ni hii wote HG na kijana ni wajinga wasio na mfano.Ni kama vipofu wawili wanaelekezana njia.Hapo hakuna mwenye mwelekeo wa maisha wa kumsaidia mwingine bali wametawaliwa na tamaa za mwili tu hakuna lolote.Kusema kweli sijaona kundondokeana kimapenzi inaingiliana vipi na mmoja wao kua house gal na mwingine kua mzigoa kwa kakake (as you call it) Hebu iangalie kwa upande huu....
Mpaka hapo tuko pamoja da Asha
House gal ni binti mzuri na mastaarabu na katulia, na ni binti ambae kama mabinti wengine once in a while fall in Love... Anachapa kazi, ana adabu (as per your say); Huyo kijana anakosa gani kumpenda huyo binti? Kwamba sababu ni binti wa kazi hana feelings za mapenzi ama hastahili kupendwa?
Da Asha nakuheshimu sana.Usitake heshima yangu ipungue kwa hicho ulichosema hapi juu.Huyo HS naha ustaarabu wowote kufanya hicho anachikifanya kazini kwake! Kijana naye ana kosa kuwasaliti wafadhili wake kwa kumvuruga HG akiwa kazini na kumshauri aache kazi ili asiwe HG tena!
Haya basi yaelekea kijana kweli kampenda binti kwa dhati.... Na twaelewa kua a true man always wants what is best for her lady... Wee mwenyewe hapo wasema mahouse gal wanajina lingine (obviously intended at mocking) la beck tatu.... Je kuna mwanaume ambae anampenda kweli mwanamke wake atataka awe house gal?
Its the principle da Asha ! Ni suala la nidhamu na pia kutokuvunja uaminifu! Kupenda kupo siku zote haijalishi. Lakini huyu mkaka anachanga mapenzi kwenye eneo nyeti - kafadhiliwa.He cannot breach trust! Atafute HG wa jirani ampende kama ni mtaalam wa kudondokea HGs.Usaliti utaenda nje ya mipaka ya familia.Imagine wewe una watoto, umepata HG ukamwamini na akaweza kukufanyia kazi zako ukakaa na amani.Halafu mtu wa ndani anamrubuni ungejisikiaje? Ningemuona wa maana kama baada ya kumpenda HG, angethubutu kumwambia kaka yake kuwa kaka, nimempenda huyu dada wa kazi, nataka kumuoa.Hapa angekuwa ameweka nia wazi na hata kama kuna kukasirika, ingekuwa haina maana na angesamehewa.Hili la kufanya mambo ya aibu kwenye giza ndilo ninalipinga. Mapenzi hayajalishi nampenda nani maana hata HG ni wanawake kama wengine.Wana haki ya kupendwa na kupenda.Hujasikia hata makazini, wale wanaofanya mapenzi kazini kuna suala la kukiuka maadili?
IMO makosa ambayo naona anayo kijana ni haraka yake.... Kama kweli awategemea kaka na shemejie na ndio anarudia form four; yupo faster saana... Anamshauri huyo binti aondoke aende wapi na atamsaidia vipi? Hata hivo huo ni mtazamo wangu tu....
Kusema kweli sijaona kundondokeana kimapenzi inaingiliana vipi na mmoja wao kua house gal na mwingine kua mzigoa kwa kakake (as you call it) Hebu iangalie kwa upande huu....
House gal ni binti mzuri na mastaarabu na katulia, na ni binti ambae kama mabinti wengine once in a while fall in Love... Anachapa kazi, ana adabu (as per your say); Huyo kijana anakosa gani kumpenda huyo binti? Kwamba sababu ni binti wa kazi hana feelings za mapenzi ama hastahili kupendwa?
Haya basi yaelekea kijana kweli kampenda binti kwa dhati.... Na twaelewa kua a true man always wants what is best for her lady... Wee mwenyewe hapo wasema mahouse gal wanajina lingine (obviously intended at mocking) la beck tatu.... Je kuna mwanaume ambae anampenda kweli mwanamke wake atataka awe house gal?
IMO makosa ambayo naona anayo kijana ni haraka yake.... Kama kweli awategemea kaka na shemejie na ndio anarudia form four; yupo faster saana... Anamshauri huyo binti aondoke aende wapi na atamsaidia vipi? Hata hivo huo ni mtazamo wangu tu....
Kusema kweli sijaona kundondokeana kimapenzi inaingiliana vipi na mmoja wao kua house gal na mwingine kua mzigoa kwa kakake (as you call it) Hebu iangalie kwa upande huu....
House gal ni binti mzuri na mastaarabu na katulia, na ni binti ambae kama mabinti wengine once in a while fall in Love... Anachapa kazi, ana adabu (as per your say); Huyo kijana anakosa gani kumpenda huyo binti? Kwamba sababu ni binti wa kazi hana feelings za mapenzi ama hastahili kupendwa?
Haya basi yaelekea kijana kweli kampenda binti kwa dhati.... Na twaelewa kua a true man always wants what is best for her lady... Wee mwenyewe hapo wasema mahouse gal wanajina lingine (obviously intended at mocking) la beck tatu.... Je kuna mwanaume ambae anampenda kweli mwanamke wake atataka awe house gal?
IMO makosa ambayo naona anayo kijana ni haraka yake.... Kama kweli awategemea kaka na shemejie na ndio anarudia form four; yupo faster saana... Anamshauri huyo binti aondoke aende wapi na atamsaidia vipi? Hata hivo huo ni mtazamo wangu tu....
Kwanza huyo fomu foo na hausi gelo hawawezi soma jf, ujumbe hauwafikii.
Afu huyo mdogo mtu hadi kufikia point hiyo mmemdekeza wenyewe.
Ningekuwa mie, angeshaisoma namba siku nyiiiingi.
kuwabeba ndugu ni kitu kizuri ila mara nyingine ni mzigo mzito kupitiliza!
Unaweza kuishia selo bureeeeeeeee!!najaribu kupata picha, huyo mshenzi angekuwa kwangu,
ningemuachia mungu na daktari wamuokoe.
Hivi unapoandika muda huu bado unaendelea kumlisha tu?
Aondoke, kama ni ada umtumie kwa Mpesa!
respect nitonye!!!! kwanza ukimkawiza beki tatu anaweza akampa mpemba wa gengeni..then hata bro akakuona waubaridi!!!housegirl nae anahitaji kupashwa kidogo mwili wake, jamani nae ni mwanamke kama nyinyi, anatamani ile kitu kama nyinyi msimuonee eti katembea na mdogo wa bosi wake