Me au Ke ....?Udikteta hauna nafasi... yeye ni binadamu na anahitaji mazuri na uhuru pia..
Teh teh...kwani bwashe anatumia mbinu gani 'kukuhendo'...Naona mnalishana matangopori tu hapa....
Hahah[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Teh teh...kwani bwashe anatumia mbinu gani 'kukuhendo'...
Tehe tttehee tehhhhe Tehe!ukiwa unaomba nanilii..... tumia demokrasia kuliko ya kwame nkurumah...
ukiwa unaombwa hela ya matumiz kua dikteta kuliko hitler ili kusiwe na matumiz hewa...
U mean udikteta 90%90% kwa 10%