Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,496
Sawa mkuuUkieleweshwa unitag
Triple A
Sawa mkuuUkieleweshwa unitag
Triple A
Amesema ni vyema wanaume wakatafuta sana pesa ili watupatie.Alieelewa anieleweshe jamanii
EwaaaAmesema ni vyema wanaume wakatafuta sana pesa ili watupatie.
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??halafu kweli aisee.
Hakika, 'akilala basi atalaliwa'. Ni maneno ya wahenga hayo antie.Ewaaa
Hapo sawa auntie.... Wanaume hakuna kulala
Muda mrefu naona unahangaika nae, nafikiri angekuwa muelewa angeshakuelewa. Ila seems ameamua to get into yo nervs. Mpuuze tu kama ulivompuuza yule mwingine.We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??
Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...
kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..
Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..
ACHA WIZI WA KUIBA AVATAR ZA WATU
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Imekuwa ni kawaida sehemu nyingi
Zenyewe inafanyika biashara lazima uwakute wadada wazuri na wenye kupendeza. na wafanya biashara wanafahamu vyema kwamba biashara ya saizi ni wanawake.
Na kwa mwanamke ambaye anasula mbovu kama anatafuta kazi sehemu lazima atasumbuka sana kuipata labda iwe ni serikalini.
Kwanini sehemu nyingi za biashara wanaweka wadada wazuri na wenye mvuto?
Lengo ni kumpumbaza mwanaume ili uache kufikiria vizuri kile ambacho ulikua unafikiria na kuanza kumuwazia jinsi alivyo umbika nk ukisha fanya basi ww yule mwanamke anakuwa ameisha kuteka na lazima uanze kufuata maelekezo yake.
Na usingae kusikia mwanaume ameenda bar amenywea pombe sh. mil. 10
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHakika, 'akilala basi atalaliwa'. Ni maneno ya wahenga hayo antie.
Pia wengi wapo kwenye hizi tigo pesa au mpesaDhaaaaa!! 90% n ukweli tena
Zaid wanapatkana mwenyewe maduka
Ya kuuza nguo na cm
Triple A
Kinda mkuuu na wanakuagaPia wengi wapo kwenye hizi tigo pesa au mpesa
du,inaleta fikraImekuwa ni kawaida sehemu nyingi