Hivi ndivyo vyakula maarufu kuwahi tokea Tanzania.

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,982
45,900
Ifuatayo ni orodha ya vyakula maarufu kabisa kuwahi kutokea hapa nchini. Orodha haijazingatia ubora wa chakula husika! Unaweza ongezea vya kwani!

1. Chipsi kuku.

2. Chipsi mayai.

3. Chipsi na mishkaki!

4. Wali na nyama.

5. Wali na kuku.

6. Wali na maharage.

7. Wali samaki.

8. Ugali na mchicha.

9. Ugali na maharage.

10. Pilau.

11. Makande.
 
Back
Top Bottom