Chipsi zinahusika 100%.
Saani 1 ya chipsi ikikamuliwa kisawasawa hutoa mafuta zaidi ya 1/8 ya lita 1 ya mafuta.
Damu, maji, hewa hupelekea kusimama kwa uume kwa msukumo wa moyo.
Mafuta mengi si ya kiwango kizuri mwilini sababu hayakimbii kwenye damu zaidi ya kujizungusha kwenye mishipa ya miili na kuzuia damu, hewa na maji kutembea inavyopaswa kulingana na msukumo wa moyo na mzunguko sahihi wa damu.
Mafuta ya alizeti yaliyochujwa kwa kiwango cha juu sana kama SUNBELT, mafuta ya siagi au kopo(KIMBO) ni mazuri sana kiafya.
Ndoo ya lita 10 ya mafuta ya Korie ni 10,000/= nakati mafuta ya SUNBELT lita 5 ni 27,000/= hadi 28,000/=.
Bado hujajua tu chipsi ni janga la kidunia kwa nguvu za kiume?