Hivi ndivyo vinavyo ondoa nguvu za kiume ...

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Yafautayo ndio mambo yanayo fanya mwanaume akose nguvu za kiume.. ashindwe kusimama au akose hamu kabisa ya kwichikwichi.

1. Mwanamke mchafu.

2. Kutukanwa na mke wake hasa kuambiwa hawezi .

3. Kuwa na mwanamke asiye mpenda.

4. Kujeruhiwa kwa hisia zake na mwanamke.

Wanawake wanawajibu mkubwa sana katika kuimarisha nguvu za kiume za mume wake.
 
Mimi sina hata dem..but sina nguvu za kiume..wewe sababu zote nijumuishi yan umemuweka Mwanamke....but nguvu za kiume kitu gani....yan mm nashauri nenda kijijini ndani ndani tafuta bint aliyemaliza la 7 ..kafeli oa kama ulimtest akiwa BIKRA hajui nguvu za kiume au za kipesa weka ndani akijanjaruka tayar umeshampa watoto wawili...so unamtimua
 
Chipsi hazihusiki kabisa.. nguvu za kiume zipo kwenye ubongo na sio kwenye mangubu ya maharage.
Sex huanzia kwenye ubongo
Mtu unayekula vizuri na kufanya mazoezi japo mara moja mbili kwa wiki lazima nguvu za kutia ziwepo.
Nguvu zina kaaje kwenye ubongo mkuu?
Swala la nguvu kukaa kwenye ubongo, ujue hapo tayari mtu anayesema hivyo hajiwezi.
Mimi hata awe mwanamke wa aina au mwonekano gani, lazima iwake na tayari kwa matumizi.
Sasa wewe unayesema eti nguvu iko kwenye ubongo huku unakula chips na soda, sawa,
uko sahihi,
watu kama sisi tuko tayari kuwapatia wake zenu msichoweza kuwapatia.
 
@Tabutupu
 
Acheni kupiga kelele kama kuna mtu mwenye nguvu ajibebe mwenyewe ndio tutajua kuwa kweli wapo wenye nguvu.
 
Subiri siku utukanwe na mke mbele za watu uone kama utasimamisha.
Mtu unayekula vizuri na kufanya mazoezi japo mara moja mbili kwa wiki lazima nguvu za kutia ziwepo.
Nguvu zina kaaje kwenye ubongo mkuu?
Swala la nguvu kukaa kwenye ubongo, ujue hapo tayari mtu anayesema hivyo hajiwezi.
Mimi hata awe mwanamke wa aina au mwonekano gani, lazima iwake na tayari kwa matumizi.
Sasa wewe unayesema eti nguvu iko kwenye ubongo huku unakula chips na soda, sawa,
uko sahihi,
watu kama sisi tuko tayari kuwapatia wake zenu msichoweza kuwapatia.
 
Sawa mkuu
Naskia hata ukiishi dar kwa mwanaume zinapungua automatically
 
Yafautayo ndio mambo yanayo fanya mwanaume akose nguvu za kiume.. ashindwe kusimama au akose hamu kabisa ya kwichikwichi.

1. Mwanamke mchafu.

2. Kutukanwa na mke wake hasa kuambiwa hawezi .

3. Kuwa na mwanamke asiye mpenda.

4. Kujeruhiwa kwa hisia zake na mwanamke.

Wanawake wanawajibu mkubwa sana katika kuimarisha nguvu za kiume za mume wake.
Uko vizurii sanaa natakaa nikuchangiee uendelee kutupaa elimuuu sijuii kwa Tpesa /Mpesa
 
Back
Top Bottom