Hivi ndivyo vinavyo ondoa nguvu za kiume ...

Hivi ndivyo vinavyo ondoa nguvu za kiume ...

Nikuelewa kiasi mkuu
Mimi sina hata dem..but sina nguvu za kiume..wewe sababu zote nijumuishi yan umemuweka Mwanamke....but nguvu za kiume kitu gani....yan mm nashauri nenda kijijini ndani ndani tafuta bint aliyemaliza la 7 ..kafeli oa kama ulimtest akiwa BIKRA hajui nguvu za kiume au za kipesa weka ndani akijanjaruka tayar umeshampa watoto wawili...so unamtimua
 
[emoji1787]
[emoji1787]
[emoji1787]
[emoji1787]
 
Chipsi hazihusiki kabisa.. nguvu za kiume zipo kwenye ubongo na sio kwenye mangubu ya maharage.

Sex huanzia kwenye ubongo
Chipsi zinahusika 100%.

Saani 1 ya chipsi ikikamuliwa kisawasawa hutoa mafuta zaidi ya 1/8 ya lita 1 ya mafuta.

Damu, maji, hewa hupelekea kusimama kwa uume kwa msukumo wa moyo.

Mafuta mengi si ya kiwango kizuri mwilini sababu hayakimbii kwenye damu zaidi ya kujizungusha kwenye mishipa ya miili na kuzuia damu, hewa na maji kutembea inavyopaswa kulingana na msukumo wa moyo na mzunguko sahihi wa damu.

Mafuta ya alizeti yaliyochujwa kwa kiwango cha juu sana kama SUNBELT, mafuta ya siagi au kopo(KIMBO) ni mazuri sana kiafya.

Ndoo ya lita 10 ya mafuta ya Korie ni 10,000/= nakati mafuta ya SUNBELT lita 5 ni 27,000/= hadi 28,000/=.

Bado hujajua tu chipsi ni janga la kidunia kwa nguvu za kiume?
 
unakuta mtu anakula chips na soda, yaani hayo ndiyo maisha yake.
Sasa najiuliza, akipewa mzigo huwa inakuwaje huko ndani?
Chipsi ni chakula cha hamu wala si cha kumshibisha Mwanaume anayejitambua kiakili kwa 100%

Kinachopelekea Mtu ajihisi kushiba ni gesi za soda anazoshushia akiwa anakula chipsi.

Chipsi, mikate, wali ni vyakula vyepesi sana kwa Mwanaume rijali na asiye na matatizo ya mmeng'enyo wa chakula mwilini.
 
Wabongo wanafikiri kula ugali na maharage ni kuongeza nguvu za kiume
Maharagwe mekundu ndiyo yana proteins nyingi sana kwa vyakula vya mbegu mbegu ukitoa soya inayoongoza.

Kazi ya maharagwe(proteins) ni nini mwilini?

Kazi ya ugali(wanga) ni nini mwilini?

Acha ulimbukeni wa vyakula vya kipumbavu kama chipsi, baga, pizza, kuku mataira(wa kizungu) na mayai feki visivyo na tija yoyote mwilini kiafya.

Kwa msaada zaidi ka-google maana ya "JUNK FOOD" ndipo urudi kuropoka hapa.
 
Ni kweli kabisa ndugu mwandishi.Kila mtu ni monster kwenye sex ni pale hujakutana na mtu amtoe shetani lako la sex ndani yako.
 
Asante.. .
IMG_20191005_155057_881.JPG
 
Yafautayo ndio mambo yanayo fanya mwanaume akose nguvu za kiume.. ashindwe kusimama au akose hamu kabisa ya kwichikwichi.

1. Mwanamke mchafu.

2. Kutukanwa na mke wake hasa kuambiwa hawezi .

3. Kuwa na mwanamke asiye mpenda.

4. Kujeruhiwa kwa hisia zake na mwanamke.

Wanawake wanawajibu mkubwa sana katika kuimarisha nguvu za kiume za mume wake.
Inasaidia pia na yeye akitambua na wewe ufanyiwe mema
 
Chipsi hazihusiki kabisa.. nguvu za kiume zipo kwenye ubongo na sio kwenye mangubu ya maharage.

Sex huanzia kwenye ubongo
hahah.. kweli Chief, kuna mtu aliwahi kusema "Brain is the biggest sex organ.."

pale kitandani we mnong'oneze mwanamke skioni maneno matam kama "why are you so beautiful?" "hivi kuna mwanamke anaekuzidi uzuri baby?"
ukigusa kule chini lazma patakua Wet N' Wild tayari.
 
Maharagwe mekundu ndiyo yana proteins nyingi sana kwa vyakula vya mbegu mbegu ukitoa soya inayoongoza.

Kazi ya maharagwe(proteins) ni nini mwilini?

Kazi ya ugali(wanga) ni nini mwilini?

Acha ulimbukeni wa vyakula vya kipumbavu kama chipsi, baga, pizza, kuku mataira(wa kizungu) na mayai feki visivyo na tija yoyote mwilini kiafya.

Kwa msaada zaidi ka-google maana ya "JUNK FOOD" ndipo urudi kuropoka hapa.

Kama unatatizo ni wewe..na kama huna pesa za kula vizuri ni wewe ,usitake kila mtu ale vyakula vyenu akiamini ndio nguvu za kiume

Kuna watu hawajui ata ugali na maharage unafananaje na wako kamili

Afu inaonesha una stress mkuu
 
Yafautayo ndio mambo yanayo fanya mwanaume akose nguvu za kiume.. ashindwe kusimama au akose hamu kabisa ya kwichikwichi.

1. Mwanamke mchafu.

2. Kutukanwa na mke wake hasa kuambiwa hawezi .

3. Kuwa na mwanamke asiye mpenda.

4. Kujeruhiwa kwa hisia zake na mwanamke.

Wanawake wanawajibu mkubwa sana katika kuimarisha nguvu za kiume za mume wake.
Kuna ukweli
 
Back
Top Bottom