Hivi ndivyo uchumi unavyokua Kwa kasi ya 4G

Faida ya makampuni ya makubwa inapungua.
Uchwara anataka pato la serikali liongezeke. Kutoka wapi?
Tunakoelekea tutakuja kutozwa kodi ya kichwa.
Uchumi umemshinda.
Asipewe muhula wa pili anatesa watu.
 
Elimu bure, chanzo cha njaa kali.

Upungufu unaotajwa wa watumiaji wa bandari, chanzo kingine.

Teuzi mbalimbali, huku waliopangiwa majukumu mengine kuendelea kupokea mishahara minono ya enzi zao, chanzo kingine.

Mchakato wa kuhamia dodoma, chanzo kingine

Tujiombee tu sasa.
 
Ukiiangalia vizuri hiyo mihimili mitatu utaona muhimili wa Serikali yangu umezama chini zaidi ya mihimili mingine kwa sababu ndiyo unaotafuta hela, kuzitunza na kuzitoa kwa ajili matumizi ya mihimili mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…