Hivi ndivyo uchumi unavyokua Kwa kasi ya 4G


technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,439
Likes
18,766
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,439 18,766 280
Sasa kama unatukana wawekezaji Wa ndani na unatamani wafirisike waishi kama mashetani.... ....

Una mipango ya kuvutia wawekezaji Wa njee.......

Unaamisha pesa kwenye mzunguko na kuzipeleka BOT zilale......

Ulipi madeni ya ndani .....

Unategemea nini?......
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,032
Likes
55,324
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,032 55,324 280
Hata yakiingia makontena matano tu ambayo yanalipiwa kodi hatutajali .
 
Z

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
1,893
Likes
3,937
Points
280
Z

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
1,893 3,937 280
uchumi unakua kwa kasi haya maneno ni uchochezi, watumbuliwe hawa
 
J

jabulani

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Messages
3,588
Likes
5,491
Points
280
J

jabulani

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2015
3,588 5,491 280
Faida ya makampuni ya makubwa inapungua.
Uchwara anataka pato la serikali liongezeke. Kutoka wapi?
Tunakoelekea tutakuja kutozwa kodi ya kichwa.
Uchumi umemshinda.
Asipewe muhula wa pili anatesa watu.
 
kilalile

kilalile

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
1,603
Likes
2,132
Points
280
kilalile

kilalile

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
1,603 2,132 280
Elimu bure, chanzo cha njaa kali.

Upungufu unaotajwa wa watumiaji wa bandari, chanzo kingine.

Teuzi mbalimbali, huku waliopangiwa majukumu mengine kuendelea kupokea mishahara minono ya enzi zao, chanzo kingine.

Mchakato wa kuhamia dodoma, chanzo kingine

Tujiombee tu sasa.
 
Lancanshire

Lancanshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2014
Messages
14,037
Likes
8,282
Points
280
Lancanshire

Lancanshire

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2014
14,037 8,282 280
Hajuwi tafsiri yake yule jamaa wa magogoni hebu msaidieni hapo aelewe mana yake.
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,268
Likes
55,197
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,268 55,197 280
Ukiiangalia vizuri hiyo mihimili mitatu utaona muhimili wa Serikali yangu umezama chini zaidi ya mihimili mingine kwa sababu ndiyo unaotafuta hela, kuzitunza na kuzitoa kwa ajili matumizi ya mihimili mingine
 

Forum statistics

Threads 1,273,529
Members 490,428
Posts 30,484,274