Hivi ndivyo tutakavyomkwamisha Dk. Magufuli

Huku dhihaka. . .Huku anatabiriwa kuwa dikteta. . .

Atachagua kuwa dikteta kuliko dhihaka na dharau. . .
 
wapuuzi wachache ndio wanaamin magufuli alishinda uchaguzi wa 2015. Tutabaguana hadi mitaani maana tunajua kilichofanyika.
 

haya uliyoyaandika yanaweza kuwa kweli kwenye jamii zenye msimamo kisiasa msimamo ambao ungeletwa na vyama sahihi vyenye maadli sio kwenye jamii ya kitanzania jamii ambayo imeshindwa kuzalisha wanasiasa wazuri wengi. leo ukirudia uchaguzi utatashangaa,kimsingi hapa usijidanganye na asilimia, hazina maana.
hivi hawa waliopata asilimia 40 ndio wanaogawa viti maalum kwa vigezo vyenye kutia shaka,
 
wapuuzi wachache ndio wanaamin magufuli alishinda uchaguzi wa 2015. Tutabaguana hadi mitaani maana tunajua kilichofanyika.

Watu mna akiri mbovu ivi unaweza kutamka eti pombe alishinda kwa kishindo? Chini ya asilimia 60 za wizi? Hii ni miujiza

Wanajitoa tu ufahamu lkn wanajua fika kilichofanyika! Magu anakazi kubwa sana maana anajua anaongoza watu ambao asilimia kubwa hawajamchagua,labda wale vilaza waliosema twaweza!!
 
Hatoweza kufanikiwa ccm ile ile watu wale wale hakuna jipya.
 
Takwimu zako za kipuuzi .... Rais wetu ameshinda kwa 62% ...Dunia inajua , CCM wanajua na wananchi wanajua kuwa CCM haikubaliki, Mmetumia NEC kubaka Demokrasia, Mmetumia vyombo vya dola kubaka Demokrasia na Sasa mnatumia mtindo ule ule kubaka Demokrasia Visiwani .... Itoshe kusema kuwa Mavi ni Mavi hata mkiyapulizia Manukato ....
 
UKAWA wasingeweza wote kwenda Muhimbili au wizara ya fedha, pasingetosha.
 
Hakuna mjinga yoyote wa kumkwamisha Magufuli. Ulishawai ona ndege inarudi rivasi? Magufuli ni kama ndege kwa sasa ndio inaanza kasi ata kupaa haijaanza. Wanaosema ana nguvu ya soda ni wale wanaoishi kwa nguvu ya viroba.

#Hapa kazi Tu

Mifano mingine!!
 
Mkwere anasema hiyo 42% ni wanywa viroba

Kwa hiyo una maana na wale wa CCM wanaokunywa Viroba nao walimpigia kura LOWASA.

Maana tunao mitaani tena wengine ni wajumbe wa Nyumba kumi, na wanakunywa hadi pombe ya Mnazi na wanzuki!!!

Fafanua please tuelewe. Sababu kama ni hivyo LOWASA anapendwa na wengi na ndio maana wa UKAWA wanasema wamerubuniwa kura zao.
 
Hivi CDM wameshinda jumla ya majimbo mangapi ya ubunge?

meng sana maana ccm ilitumia hongo kurubuni wagombea kwa mfano jumbo langu LA ukonga ridhiwan alimpa hongo ya mill 600 waitara ili akubali kushindwa wanach walizunguka nyumba yake na kutoa amri moja akisaini tu wanaua with wrote waliokua ndani na kuchoma moto kila kitu.majimbo me ng mbinu hii ilitumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…