Hivi ndivyo tunavyojitegemea

Hizo shule zote ongeza misaada. Je, misaada ikitokomea itakuaje
Tatizo misaada haiwafikii walengo kama watoa misaada wanavyokusudia. Kumbuka japan hela wanazotoa ni kusaidia 50% ya bajeti yetu ya 2016/2017
 
Tatizo misaada haiwafikii walengo kama watoa misaada wanavyokusudia. Kumbuka japan hela wanazotoa ni kusaidia 50% ya bajeti yetu ya 2016/2017
Naamini chini ya magu yote hayo yataisha maana ni msimamizi mzuri
 
Naamini chini ya magu yote hayo yataisha maana ni msimamizi mzuri
Kuisha itachukua muda sana, ila atapunguza sana kama atatuliza akili na kuweka mfumo endelezi hata kwa atakayefuata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…