AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Shetani anapogombanisha watu...huwa anakaa pembeni alafu anachocheza vizuri kwa kila mmoja...
Kwa wale wa STAR TIMES channel ya STAR SWAHILI Kila siku ya juma4 mpk alhamisj nadhan mida ya saa 1 mpaka 2 jioni...nimemuona wife anaangalia...KIPINDI CHA ANIKWA...
Vituko vyote vya yule dada mwenye kipindi...ndio sHETANI ANAVYOFANYAGA KAZI...TUMUEPUKE...