Huyo pastor aliyatoa wapi hayo maandiko? Weka source kabisa ili tujisomee wenyewe.Hapa unaonyesha chukki yako kwa wasabato wala huna hoja ya msingi.kwa hili hulijui utendalo, kwani unatimiza unabii,Mungu akusamehe. Hicho kikundi ulichosema cha watu 600 sio kanisa la waadventista wasabato bali ni kikundi kilichochanganyikiwa kama wewe. Pia sio kila anyeelezea historia ya uasi wa kanisa katoliki ni msabato,historia iko wazi kabisa anayetaka kujua ataelewa tu hata kama hamtaki. Jana nimesikiliza kipindi star tv kuna pastor mmoja sijui wa kanisa gan na wali si msabato aliielezea jinsi kanisa la roma lilivyoingia katika vita dhidi ya wale waliohifadhi Maandiko matakatifu yaani Biblia.Waliwapiga vita waldensia kwa kuwa walitunza Biblia halisi.Huu ukweli ukisemwa bado mtawatukana wasabato? Neema ya Bwana wetu Yesu iwaangaze muutambue ukweli na kuufuata.
Mwisho wa dunia October 1844 sasa mbona tupo 2017 aisee Miller ,Joseph batez,Edison na bi Ellen G White ni watu wa kuogopwa sana khaWasabato na mauzauza yao. Yaani hata Papa akijamba tayari unabii umetimia. Wakati huo huo hata wenyewe historia yao kuanzia kwa mwanzilishi wao Miller na kuendelea mpaka kwa "nabii" wao mama Ellen G. White imejaa mauzauza tupu. Na wanaamini kabisa kuwa wao peke yao ndiyo watakwenda mbinguni kisa eti wanaabudu siku ya Jumamosi.
Wasabato wanajumuishwa na hao wengine na wanatambuliwa kama mojawapo ya Christian cults zilizofanikiwa sana. Mojawapo ya mafundisho yao yanayopingana na Biblia ni hili: Wanaamini kuwa Yesu hakukamilisha kazi ya wokovu pale msalabani na kuanzia mwaka 1884 aliingia Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) kuendelea kutuombea mbele ya Mungu Baba. Halafu wana kiherehere cha kutabiri kila jambo linalotokea duniani na kulihusisha na unabii. Yaani ukiwasikiliza aisee hutaweza kuishi. Ndiyo maana mwaka 1884 mwanzilishi wao aliwarubuni wafuasi wake kuwa mwaka huo Yesu anarudi wakauza kila kitu kumbe uwongo. Baadaye ndiyo ikasahihishwa kwamba mwaka 1884 haukuwa wa kurudi kwa Yesu bali ni Yesu alikuwa anahamia kwenye chumba cha Patakatifu pa Patakatifu huko mbinguni tayari kuanza kazi ya kutuombea mbele ya Mungu Baba.Thanx umenipa shule
"Na ndani yake ilionekana damu ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi". Ufu 18:24.
Rejea pia usome Danieli 7:25 kisha Est 3:8-10 kisha_fuatana_nami
Ni nani huyo muuaji?
(Sikia alichopata kuchosema Baron Deponnat kiongozi mashuhuri wa Ufaransa)
Anasema :-
"Roman katoliki lilizaliwa katika damu likawekewa_ukuta wa damu lilituliza_kiu_yake kwa damu na ni kwa herufi za damu historia yake imeandikwa. Utendaji wao unakwenda bila kuacha mapigo ya mirindimo_ya_viapo vya damu!"
Sasa_hapa_utasema_limejengewaje_kwa_damu?
Mamlaka ya Papa imekuwa ikitekeleza mateso dhidi ya wale wanaopinga madai yake, kama haki iliyopewa na Mungu.
Papa Martin V(1417-1431 B.K) alitoa maelekezo yafuatayo kwa mfalme wa Poland kuhusiana na Wakristo wa kweli waliokuwa wafuasi wa John Huss.
Hakikisha_unawaangamiza_wafuasi_wote_wa_Huss. Kumbuka kuwa watu wenye kukufuru wanathubutu kanuni za uhuru; wanadai
Wakristo_wote_ni_ndugu....wanadai kwamba Kristo alikuja duniani kukomesha utumwa; wanawaita watu wawe huru...
Choma_ua_kwa_wingi,fanya mahali pawe jangwa,kwani hakuna jambo linalokubalika zaidi kwa Mungu/linalofaa zaidi lenye manufaa zaidi ktk wajibu wa wafalme,kama vile kuwaangamiza wafuasi wa Huss."(L.M.de Cormentin, The Public and Private History of Popes of Rome, Vol. III, uk.116-117.
JE_WAMEISHIA_HAPO_TU
"Mapapa pamoja na mawakala wa Kijesuiti, hadi sasa wamekuwa ndiyo wainjiniaji_wa_vita, na wakati ulimwengu ukiugulia maumivu ya kweli,
Roma_hushikilia_shampeni."
Maneno taliyotamkwa na Jeremia J. Crowley (Padri wa zamani wa Kikatoliki).
Romanism: A Manace to the Nation, Menace Publishing uk 144.
Haitoshi
Naye Edmond Paris ameandika hivi:-
"Mtu aweza kusema kwa uhakika kwamba mnamo mwaka 1914 kanisa la Roma lilianzisha_mfumo_wa_vita_vibaya.ilikuwa kwamba, utambulisho wa damu ambayo wakati wote amechukua kwa wanadamu ikaanza kuumuka na kuwa tufani ya kutisha." The Vatican Against Europe, The Wickliffe Press uk 48.
Hivyo_ndivyo_Roma_imetenda_inaenendelea_na_itaendelea kakini atavuna_tu_alichopanda Ufu 9:1-2.
Uliza_kama_hujaelewa_kisha_tutasaidiana
What's app no 0655446552.
Wasabato wanajumuishwa na hao wengine na wanatambuliwa kama mojawapo ya Christian cults zilizofanikiwa sana. Mojawapo ya mafundisho yao yanayopingana na Biblia ni hili: Wanaamini kuwa Yesu hakukamilisha kazi ya wokovu pale msalabani na kuanzia mwaka 1884 aliingia Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) kuendelea kutuombea mbele ya Mungu Baba. Halafu wana kiherehere cha kutabiri kila jambo linalotokea duniani na kulihusisha na unabii. Yaani ukiwasikiliza aisee hutaweza kuishi. Ndiyo maana mwaka 1884 mwanzilishi wao aliwarubuni wafuasi wake kuwa mwaka huo Yesu anarudi wakauza kila kitu kumbe uwongo. Baadaye ndiyo ikasahihishwa kwamba mwaka 1884 haukuwa wa kurudi kwa Yesu bali ni Yesu alikuwa anahamia kwenye chumba cha Patakatifu pa Patakatifu huko mbinguni tayari kuanza kazi ya kutuombea mbele ya Mungu Baba.
Wanaweka msisitizo usio na sababu juu ya sheria za Musa hasa juu ya vyakula na ushikaji wa Sabato. Hakuna kula samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika au wasiocheua na siku ya Sabato hairuhusiwi hata kupika. Msisitizo huu katika sheria za Musa hata Yesu aliukemea mara nyingi na alikuwa na ugomvi wa muda mrefu na Mafarisayo. Ndiyo maana aliwakemea walipomzonga baada ya kumponya mtu siku ya Sabato na kumwambia ajitwike godoro lake aende.
Wanadhani kuwa kushika sheria hizi ndiyo kutawaokoa na wanadhani kuwa kwa kushika misheria hii ya Musa basi wao ni watakatifu kuliko Wakristo wengine. Kumbe Biblia na Yesu mwenyewe walifundisha kinyume chake. Yaani ni mvurugano mtupu lakini wanaamini kuwa wao ndiyo watakatifu pekee watakaokwenda mbinguni.
Hili ni gaidi tu
Umemaliza kila kitu.Dini ni ujinga,
Dini si Mungu, Mungu si Dini
Dini ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu
watu waelewe na wafahamu kuwa Dini ni kilimbilio la watu wajinga na wapumbavu, bali Mungu ni kimbilio na watu wenye Hekima, Busara na Maarifa
Heri ya mwaka mpya
Mkuu inasikitisha sana...Bi Ellen alifanya mauaji makubwa sana (Great Disappointment)....Mwisho wa dunia October 1844 sasa mbona tupo 2017 aisee Miller ,Joseph batez,Edison na bi Ellen G White ni watu wa kuogopwa sana kha
HahahahaKatika wafia dini wote wasabato ndo vi**yo wa kutupa.
Hawana kingine cha kuhubiri tofauti na Kanisa Catholic, vitabu vya Ufunuo na Daniel.
Kuna mwaka flani wakiwa kama 600 hivi waliandamana kwenda Airport ili waende ulaya bila ya kuwa na chochote kilichohitajika.
Hawa nao ni moja ya makundi ya vichaa kwenye jamii.
Yesu alikuwa anahamia kwenye chumba cha Patakatifu pa Patakatifu huko mbinguni tayari kuanza kazi ya kutuombea mbele ya Mungu Baba.
cha kushangaza huyo Mungu hajawahi kuja kuchukua hizo sadaka na zaka,Um
Umemaliza kila kitu.
Wanalubuniwa na kutoa sadaka(hela) eti mtolee mungu wako halafu ukirudi unaanza kulalamika njaa.
Inasikitisha sanaHaitoshi hapo mkuu wanatudanganya kuwa mwaka 538 upapa ulianza na mwaka 1798 ukapata jeraha la mauti ili kukamilisha siku 1260 za unabii. Hapo ndo huwa wanakamatwa mapumbu, kama upapa ulianza mwaka 538 mbona wanasema upapa huohuo ulibadii sabato 328? Kwa kadri ya kitabu cha danieli baada ya siku hizo 1260 kitabu kinasema wazi mamlaka ya mnyama yalikomeshwa na watakatifu kupewa mamlaka. Je utatudanganya nini kama mpka sasa ni miaka 269 tangia mnyama huyo kupewa jeraha la mauti? Msiwadanganye waumini wenu kwa kuwapa historia ya uongo kwa kudhani ndo mafundisho yaletayo uzima.
Tafsiri ya gaidi please!!!!!!!Hili ni gaidi tu
Nami pia niko kama huyo niite Gaidi,ntafurahi sana!!!!Hili ni gaidi tu
Wasabato wana attention kubwa na Papa kuliko watu wowote duniani,lolote asemalo Papa kabla hata halijawafikia walengwa,wasabato wameshathibitisha kutimia kwa unabii wa Danieli na ufunuo,wenzao huwa wanafanya tathmini,,ingetosha mjipime,miaka nenda rudi mmefanikiwa kwa kiasi gani kulitikisa kabisa katoliki linalowakosesha usingizi,maana asilimia 90 ya mafundisho ya usabato ni juu ya ukatoliki
Du aiseeSi bora angeingia kutuombea?? Wanakwambia mwaka ule 1844 Yesu alipotea njia kwa bahati mbaya akaingia patakatifu hekaluni...Tangu lini mbinguni kukawa na hekalu...?? Halafu jiulize Yesu anatuombea kwa nani angali Yeye ni Mungu..?
Wanakwambia aliingia huko eti kufanya hukumu ya upelelezi(Investigative Judgement)...Tangu lini Yesu anafanya upepelezi..?
Wasabato ni vichaa..
Mr. Mangi