Hivi ndivyo rais mstaafu Mwinyi anavyomzungumzia Makamba

Ni dhambi kubwa kumrubuni Mzee Ruksa akuandikie Foreword ili nawewe mtu ambaye huna lolote kwenye utumishi wa Taifa hili ili tu uonekane unaweza. Januari jitendee haki, huna sifa hizo ambazo unajaribu kujivalisha. Kwanza kwenye Serikali ijayo hata ukishinda ubunge sioni kama utakuwepo kwenye baraza la mawaziri.
katika wajinga ambao wanafikilia kwa kutumia makalio basi wewe ndo namba moja
 
nimefarijika kuyasoma mazungumzo baina ya padri privatus karugendo na ndugu january makamba, mmoja wa viongozi mahiri wa zama za sasa.nawapongeza kwa kuamua kuyaweka mazungumzo yao katika rekodi ya maandishi. Hakika tumejifunza mengi kuhusu na kutokana na historia na falsafa ya maisha ya ndugu makamba pamoja na fikra zake kuhusu tanzania ijayo.

Jamii inanufaika tunapowafahamu kwa kina viongozi wetu. Utaratibu huu wa padri karugendo ni jambo jema na inabidi uendelezwe. Binafsi nilikuwa namfahamu ndugu makamba kama kiongozi ndani ya chama chetu na kwenye serikali. Fursa ya kusoma mazungumzo yake imenisaidia kumfahamu zaidi kama mtu lakini pia kufahamu fikra zake. Nimefarijika kwamba nchi yetu na rais wetu kikwete ameendeleza utamaduni aliouanzisha mwalimu nyerere na kuendelezwa nami wa kuwaamini vijana na kuwapa fursa za uongozi ili kuwaandaa kuiongoza nchi yetu.

Nilimteua ndugu jakaya mrisho kikwete kuwa mbunge na naibu waziri akiwa na umri wa miaka 38 tu na baadaye waziri wa wizara muhimu ya maji, nishati na madini akiwa na umri wa miaka 40 na baadaye waziri wa fedha. Sikufanya hivyo kwasababu tu ya umri wake bali kutokana na kuamini katika msingi wa kuandaa viongozi wa vizazi vijavyo kwa kuwapa majukumu katika chama na ndani ya serikali. Kwa kusoma mazungumzo ya padri karugendo na ndugu makamba ni dhahiri kabisa kwamba ndugu makamba aidha ameandaliwa au amejiandaa vizuri kuwa kiongozi mkubwa. Kazi hii ya kuandaa viongozi lazima iendelee kufanywa. Kiongozi mzuri ni yule anayetengeneza viongozi wengine wapya.

Kila zama na kitabu chake, kila zama na changamoto zake na kila zama na mitume wake. Wenye zama zao wanakitendea haki kizazi chao na vizazi vijavyo wanaporekodi masaibu na matumaini ya zama husika. Nimejifunza kupitia mazungumzo haya kuhusu aina ya tanzania ambayo ndugu makamba anaitaka. Imani yangu ni kwamba mazungumzo haya, pamoja na mengine ambayo wengine watayafanya, yataleta mjadala wenye afya kuhusu tanzania tuitakayo.

View attachment 218769

ali hassan mwinyi
rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania
dar es salaam
22/12/2014

histori inaonyesha hapa kwamba miaka 54 iliyopita mwalimu julius kambarage nyerere alikuwa kijana na ndiye aliyeshinda uchaguzi mkuu wa kwanza wa rais tanzania,huku wazee mashuhuri wakikubali kukaa pembeni na kuwaachia vijana kuongoza nchi.kwanini january makamba asipewe fursa hiyo ya kuiongoza nchi yetu?

View attachment 218812
 
Nyie umizeni tu vichwa kuwasikiliza hawa magamba, wenzenu hiyo ni kaz yao kila kukicha, na wanalipwa kwa kazi hii,ila nahofia kizazi cha watoto wenu watawafikiriaje nyie wachumia tumbo, wala hamuifikirii kesho, najua kinachowapa moyo wa kuendelea ni fedha kiduchu mnazopatiwa na mnao wapigia debe, angalieni kuna siku tamaa hiyo hiyo ilowaziba macho yenu msiuone ukweli itakuja kusababisha hata mfanyiwe vitu msivyo dhani, amkeni acheni undezi
 
wewe mchumia makalio unalipwa nani????? ongea fact mkuu na sio kuongea utumbooo kilazaaa wewe
 
kweli ni kujifaliji!!! 70% wananchi vijijini ambako hakuna umeme!,barabara mbovu,zahanati hakuna,shule mbovu!! maji haba!!! wakulima wanalima hakuna masoko!!! je? unayo majibu ya matatizo ya nchi yetu.

kujifaliji=kujifariji
 
kuna mtu kasababisha "taasisi nyeti ya urais" ionekane ni taasisi isiyo nyeti zaidi ya nyeti!
histori inaonyesha hapa kwamba miaka 54 iliyopita mwalimu julius kambarage nyerere alikuwa kijana na ndiye aliyeshinda uchaguzi mkuu wa kwanza wa rais tanzania,huku wazee mashuhuri wakikubali kukaa pembeni na kuwaachia vijana kuongoza nchi.kwanini january makamba asipewe fursa hiyo ya kuiongoza nchi yetu?
 
Makamba una haha kujipa promo.....wakati unaibu waziri tu unakushinda.....wananchi wanaibiwa fedha zao na makampuni ya simu, wewe hata habari ya kuwatetea huna....leo unautaka urais kwa lipi hasa?

Jamii inanufaika tunapowafahamu kwa kina viongozi wetu. Utaratibu huu wa Padri Karugendo ni jambo jema na inabidi uendelezwe. Binafsi nilikuwa namfahamu Ndugu Makamba kama kiongozi ndani ya Chama chetu na kwenye Serikali. Fursa ya kusoma mazungumzo yake imenisaidia kumfahamu zaidi kama mtu lakini pia kufahamu fikra zake. Nimefarijika kwamba nchi yetu na Rais wetu Kikwete ameendeleza utamaduni aliouanzisha Mwalimu Nyerere na kuendelezwa nami wa kuwaamini vijana na kuwapa fursa za uongozi ili kuwaandaa kuiongoza nchi yetu.

View attachment 218813
 
Mh January Makamba wanajimbo wanakuamini,wanakupenda na watanzania pia wameamua kwa moyo mmoja usimame upande wao. Usiwaangushe mh, ikiwa CC itakupitisha wewe badala ya mh Lowassa hatuna shaka na ushindi wa kishindo ndani ya CCM 2015.
 
Nimefarijika kuyasoma mazungumzo baina ya Padri Privatus Karugendo na Ndugu January Makamba, mmoja wa viongozi mahiri wa zama za sasa.Nawapongeza kwa kuamua kuyaweka mazungumzo yao katika rekodi ya maandishi. Hakika tumejifunza mengi kuhusu na kutokana na historia na falsafa ya maisha ya Ndugu Makamba pamoja na fikra zake kuhusu Tanzania ijayo.

Jamii inanufaika tunapowafahamu kwa kina viongozi wetu. Utaratibu huu wa Padri Karugendo ni jambo jema na inabidi uendelezwe. Binafsi nilikuwa namfahamu Ndugu Makamba kama kiongozi ndani ya Chama chetu na kwenye Serikali. Fursa ya kusoma mazungumzo yake imenisaidia kumfahamu zaidi kama mtu lakini pia kufahamu fikra zake. Nimefarijika kwamba nchi yetu na Rais wetu Kikwete ameendeleza utamaduni aliouanzisha Mwalimu Nyerere na kuendelezwa nami wa kuwaamini vijana na kuwapa fursa za uongozi ili kuwaandaa kuiongoza nchi yetu.

Nilimteua Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mbunge na Naibu Waziri akiwa na umri wa miaka 38 tu na baadaye Waziri wa Wizara muhimu ya Maji, Nishati na Madini akiwa na umri wa miaka 40 na baadaye Waziri wa Fedha. Sikufanya hivyo kwasababu tu ya umri wake bali kutokana na kuamini katika msingi wa kuandaa viongozi wa vizazi vijavyo kwa kuwapa majukumu katika Chama na ndani ya Serikali. Kwa kusoma mazungumzo ya Padri Karugendo na Ndugu Makamba ni dhahiri kabisa kwamba Ndugu Makamba aidha ameandaliwa au amejiandaa vizuri kuwa kiongozi mkubwa. Kazi hii ya kuandaa viongozi lazima iendelee kufanywa. Kiongozi mzuri ni yule anayetengeneza viongozi wengine wapya.

Kila zama na kitabu chake, kila zama na changamoto zake na kila zama na mitume wake. Wenye zama zao wanakitendea haki kizazi chao na vizazi vijavyo wanaporekodi masaibu na matumaini ya zama husika. Nimejifunza kupitia mazungumzo haya kuhusu aina ya Tanzania ambayo Ndugu Makamba anaitaka. Imani yangu ni kwamba mazungumzo haya, pamoja na mengine ambayo wengine watayafanya, yataleta mjadala wenye afya kuhusu Tanzania tuitakayo.

View attachment 218769

Ali Hassan Mwinyi
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dar es Salaam
22/12/2014

Jamii inanufaika tunapowafahamu kwa kina viongozi wetu. Utaratibu huu wa Padri Karugendo ni jambo jema na inabidi uendelezwe. Binafsi nilikuwa namfahamu Ndugu Makamba kama kiongozi ndani ya Chama chetu na kwenye Serikali. Fursa ya kusoma mazungumzo yake imenisaidia kumfahamu zaidi kama mtu lakini pia kufahamu fikra zake. Nimefarijika kwamba nchi yetu na Rais wetu Kikwete ameendeleza utamaduni aliouanzisha Mwalimu Nyerere na kuendelezwa nami wa kuwaamini vijana na kuwapa fursa za uongozi ili kuwaandaa kuiongoza nchi yetu.

427675_364430126911024_150055741_n.jpg
 
Makamba una haha kujipa promo.....wakati unaibu waziri tu unakushinda.....wananchi wanaibiwa fedha zao na makampuni ya simu, wewe hata habari ya kuwatetea huna....leo unautaka urais kwa lipi hasa?

KATIKA awamu ya pili ya urais wa Kikwete ndio sekta ya mawasiliano hasa ya simu imekua na ufanisi mkubwa. Sasa hii matumizi ya simu za mkononi hasahsa smart phone yamekuwa makubwa sana, na gharama za upigaji wa simu kutoka mtandao mmoja kwenda mtandao mwingine zimepungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na ilivyokuw awali, sasa hivi hatuhitaji kuwa na simu zaidi ya moja au kuwa na mzigo wa simu.

Pamoja na hayo, changamoto za kuibiwa na mambo ya kufafanayo zimefafanuliwa izuri kabisa katika sheria ZA NCHI, na tasisi ya TACRA ipo kusikiliza malalamiko yote juu ya matumizi ya simu, mitandao na huduma zingine za upashaji habari kama redio na TV.
 
Mh January Makamba wanajimbo wanakuamini,wanakupenda na watanzania pia wameamua kwa moyo mmoja usimame upande wao. Usiwaangushe mh, ikiwa CC itakupitisha wewe badala ya mh Lowassa hatuna shaka na ushindi wa kishindo ndani ya CCM 2015.

Jamii inanufaika tunapowafahamu kwa kina viongozi wetu. Utaratibu huu wa Padri Karugendo ni jambo jema na inabidi uendelezwe. Binafsi nilikuwa namfahamu Ndugu Makamba kama kiongozi ndani ya Chama chetu na kwenye Serikali. Fursa ya kusoma mazungumzo yake imenisaidia kumfahamu zaidi kama mtu lakini pia kufahamu fikra zake. Nimefarijika kwamba nchi yetu na Rais wetu Kikwete ameendeleza utamaduni aliouanzisha Mwalimu Nyerere na kuendelezwa nami wa kuwaamini vijana na kuwapa fursa za uongozi ili kuwaandaa kuiongoza nchi yetu.

kujifaliji=kujifariji

Jamii inanufaika tunapowafahamu kwa kina viongozi wetu. Utaratibu huu wa Padri Karugendo ni jambo jema na inabidi uendelezwe. Binafsi nilikuwa namfahamu Ndugu Makamba kama kiongozi ndani ya Chama chetu na kwenye Serikali. Fursa ya kusoma mazungumzo yake imenisaidia kumfahamu zaidi kama mtu lakini pia kufahamu fikra zake. Nimefarijika kwamba nchi yetu na Rais wetu Kikwete ameendeleza utamaduni aliouanzisha Mwalimu Nyerere na kuendelezwa nami wa kuwaamini vijana na kuwapa fursa za uongozi ili kuwaandaa kuiongoza nchi yetu.

Umeshawahi kushiriki kulala njaa na wa Tanzania walio wengi?
Je? wanaosota kutafuta riziki bila ujuzi?
 
kweli kabisa mkuu

Jamii inanufaika tunapowafahamu kwa kina viongozi wetu. Utaratibu huu wa Padri Karugendo ni jambo jema na inabidi uendelezwe. Binafsi nilikuwa namfahamu Ndugu Makamba kama kiongozi ndani ya Chama chetu na kwenye Serikali. Fursa ya kusoma mazungumzo yake imenisaidia kumfahamu zaidi kama mtu lakini pia kufahamu fikra zake. Nimefarijika kwamba nchi yetu na Rais wetu Kikwete ameendeleza utamaduni aliouanzisha Mwalimu Nyerere na kuendelezwa nami wa kuwaamini vijana na kuwapa fursa za uongozi ili kuwaandaa kuiongoza nchi yetu.

Makamba una haha kujipa promo.....wakati unaibu waziri tu unakushinda.....wananchi wanaibiwa fedha zao na makampuni ya simu, wewe hata habari ya kuwatetea huna....leo unautaka urais kwa lipi hasa?

Mhh! Nchi hii siyo Kichwa cha Mwendawazimu; hata kila mtu akitumie kujifunza kunyolea. Kila mtu anataka kuwa Rais nchi hii, wa kwenda kujifunza uongozi ndani ya Ikulu. Safari hii tunataka atakaye kuwa Baba, Msimamizi, Mwongozaji, anayeumia anapoona Uharibifu ukitendeka. Ikiwa hatakuwepo wa namna hii hatuna haja ya kupiga kura.
 
kweli ni kujifaliji!!! 70% wananchi vijijini ambako hakuna umeme!,barabara mbovu,zahanati hakuna,shule mbovu!! maji haba!!! wakulima wanalima hakuna masoko!!! je? unayo majibu ya matatizo ya nchi yetu.

Kila zama na kitabu chake, kila zama na changamoto zake na kila zama na mitume wake. Wenye zama zao wanakitendea haki kizazi chao na vizazi vijavyo wanaporekodi masaibu na matumaini ya zama husika. Nimejifunza kupitia mazungumzo haya kuhusu aina ya Tanzania ambayo Ndugu Makamba anaitaka. Imani yangu ni kwamba mazungumzo haya, pamoja na mengine ambayo wengine watayafanya, yataleta mjadala wenye afya kuhusu Tanzania tuitakayo.

attachment.php
 
Back
Top Bottom