MBURE JASHA
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 200
- 46
kumMessage from Ndorwe Vanyua Usangi Mwanga Kilimanjaro<br> Niliwahi kuweka hii post lakini sijui kwa nini haikutokea. Naomba leo niirudie tena.<br>Tuna viongozi wengi sana wanaotokana na magamba ambao ushindi wao kwenye uchaguzi wa 2010 walipita kwa rushwa. Wa Tz tulio wengi tunajua kuwa TAKUKURU ni Joka la KIBISA. lakini kuna nchi wananchi kupitia sauti zao,maandamano na pia media zao zilizo huru walifanya mapinduzi au kuwaondoa madarakani viongozi waliopatikana kwa mizengwe.<br>Mac Ravolmanana wa Madascar ni mfano wa kwanza . aliondoshwa madarakani na DJ wa FM Radio tu.<br> Hapa nawaonyesha baadhi ya Hint zilizomuingiza Prof Madarakani. na kupewa uwaziri
si ndio wenye njaa...Mbona wote waslam!
Kazi kwelikweli!
Tunateseka sababu ya ujinga wetu, acha watukomeshe, na huko Igunga nasikia wamepeleka kontena la sukari kwa ajili ya kugawia wapiga kurahayo mambo ndani ya chama chao cha kugawana mapesa
Siwezi kushangaa kwa sababu ni majina yale yale ya matamko kila kukicha. Hawa watu watatutesa sana kwa matumbo yao ya dezo dezo bila kufikiria kesho atakula nini.Tunateseka sababu ya ujinga wetu, acha watukomeshe, na huko Igunga nasikia wamepeleka kontena la sukari kwa ajili ya kugawia wapiga kura
Watanzania tumeendekeza njaa mno, ndicho kinachopelekea hawa viongozi waliochaguliwa kwa ushawishi kutokufanya yale wanayohitajika kufanya kwa maendeleo na ustawi wa jamii bali kujazia pale walipotoa wakati wa mchakato wa uchaguzi.Lazima tuwasaidie hawa wenzetu wanaohongwa vijihela uchwara na kuuza haki zao kwa miaka mitano watoke kwenye fikra za matumboni na kutambua wajibu wao na viongozi wanaowachagua na sio suala la kutoa rushwa na kupewa kura...
BTW, hivi kwa ushahidi kama huu Tume ya Uchaguzi haioni ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi? na wanachukuliaje mambo kama haya? na jee, hauwezi kutumiwa mahakamani kupinga ushindi wa watu kama hawa..?
Mbona wote waslam!
Kwa Tanzania si rahisi kujua nani ni muislamu na nani mkristo kwa kuangalia jina tu. Lakini kama majina yanaashiri dini ya mtu, vile vile kuna akina:si ndio wenye njaa...