Hivi ndivyo prof. Maghembe alivyopata ubunge wake Mwanga

MBURE JASHA

JF-Expert Member
May 7, 2011
200
46
Ndorwe Vanyua Usangi Mwanga Kilimanjaro Niliwahi kuweka hii post lakini sijui kwa nini haikutokea. Naomba leo niirudie tena. Tuna viongozi wengi sana wanaotokana na magamba ambao ushindi wao kwenye uchaguzi wa 2010 walipita kwa rushwa.

Wa Tz tulio wengi tunajua kuwa TAKUKURU ni Joka la KIBISA. Lakini kuna nchi wananchi kupitia sauti zao,maandamano na pia media zao zilizo huru walifanya mapinduzi  au kuwaondoa madarakani viongozi waliopatikana kwa mizengwe.

Mac Ravolmanana wa Madascar ni mfano wa kwanza . aliondoshwa madarakani na DJ wa FM Radio tu. Hapa nawaonyesha baadhi ya Hint zilizomuingiza Prof Madarakani. na kupewa uwaziri
 
Watanzania tumeendekeza njaa mno, ndicho kinachopelekea hawa viongozi waliochaguliwa kwa ushawishi kutokufanya yale wanayohitajika kufanya kwa maendeleo na ustawi wa jamii bali kujazia pale walipotoa wakati wa mchakato wa uchaguzi.Lazima tuwasaidie hawa wenzetu wanaohongwa vijihela uchwara na kuuza haki zao kwa miaka mitano watoke kwenye fikra za matumboni na kutambua wajibu wao na viongozi wanaowachagua na sio suala la kutoa rushwa na kupewa kura...

BTW, hivi kwa ushahidi kama huu Tume ya Uchaguzi haioni ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi? na wanachukuliaje mambo kama haya? na jee, hauwezi kutumiwa mahakamani kupinga ushindi wa watu kama hawa..?
 
Message from&nbsp; Ndorwe Vanyua&nbsp; Usangi Mwanga Kilimanjaro<br>&nbsp;Niliwahi kuweka hii post lakini&nbsp; sijui&nbsp; kwa nini haikutokea. Naomba leo niirudie tena.<br>Tuna viongozi wengi sana wanaotokana na magamba ambao ushindi wao kwenye uchaguzi wa 2010&nbsp; walipita kwa&nbsp; rushwa.&nbsp; Wa Tz tulio wengi tunajua kuwa TAKUKURU ni Joka la KIBISA.&nbsp; lakini kuna&nbsp; nchi wananchi kupitia sauti zao,maandamano na pia media zao zilizo huru&nbsp; walifanya mapinduzi&nbsp; au kuwaondoa madarakani&nbsp;&nbsp; viongozi waliopatikana kwa mizengwe.<br>Mac Ravolmanana wa Madascar ni mfano&nbsp; wa kwanza . aliondoshwa madarakani na DJ wa FM Radio tu.<br>&nbsp;Hapa nawaonyesha baadhi ya Hint zilizomuingiza Prof Madarakani. na kupewa uwaziri
kum
be hata SAint anaweza kununua ubunge bana ..mwe!! yaani laki saba ambayo ni dola 400 mtu kanunua kijiji/kata nzima ...mwe...sasa hivi jamaa anakula bataaaa
 
Nakumbuka mwaka jana wakati wa kura za maoni kuna shule moja Mwanga (VUDOI SEC) wanafunzi wa kidato cha tano na sita walipelekewa kadi za ccm, ili kumuwezesha Maghembe, Takukuru walijua, ila hakuna la maana lililofanyika.
 
Nimeziona nyaraka,kama ni za kweli na sahihi,naomba mwongozo wa wadau.
Sheria ya gharama za Uchaguzi inasemaje kuhusu hilo?
 
Wataalamu wa sheria hili kwa sasa hatuwezi kulipeleka kizimbani ili tuhangaike na huyu bwana Maghembe..............?
 
Mbure Jasha unao ushahidi wa wazi kabisa kuhusu rushwa iliofanyika ila nashangaa kwanini TAKUKURU hawana meno kwa uchafu kama huu? Hakika sio Maghembe peke yake aliepita kwa staili hii wapo wengine pia. TAKUKURU amkeni maana tumechoka kupata viongozi wa aina hii. Sishangai Mbunge wa Same Magharibi akionekana na kashfa kama hizi. Hakuna chochote ambacho amewafanyia wananchi wa maeneo yake. Kama lipo na aseme waziwazi.
 
hayo mambo ndani ya chama chao cha kugawana mapesa
Tunateseka sababu ya ujinga wetu, acha watukomeshe, na huko Igunga nasikia wamepeleka kontena la sukari kwa ajili ya kugawia wapiga kura
 
Hizi attachment ni sahihi hata ukipiga simu kwa kutumia hizo namba zinapatikana. Ingekuwa ni nchi za wenzetu hii ni ushahidi tosha wa kufungulia mashitaka prof Maghembe.
 
Tunateseka sababu ya ujinga wetu, acha watukomeshe, na huko Igunga nasikia wamepeleka kontena la sukari kwa ajili ya kugawia wapiga kura
Siwezi kushangaa kwa sababu ni majina yale yale ya matamko kila kukicha. Hawa watu watatutesa sana kwa matumbo yao ya dezo dezo bila kufikiria kesho atakula nini.
 
Wengine tunatumia simu. Kama kuna uwezekano mnaotumia pc, fanyeni mpango nasi tushiriki.
 
Watanzania tumeendekeza njaa mno, ndicho kinachopelekea hawa viongozi waliochaguliwa kwa ushawishi kutokufanya yale wanayohitajika kufanya kwa maendeleo na ustawi wa jamii bali kujazia pale walipotoa wakati wa mchakato wa uchaguzi.Lazima tuwasaidie hawa wenzetu wanaohongwa vijihela uchwara na kuuza haki zao kwa miaka mitano watoke kwenye fikra za matumboni na kutambua wajibu wao na viongozi wanaowachagua na sio suala la kutoa rushwa na kupewa kura...

BTW, hivi kwa ushahidi kama huu Tume ya Uchaguzi haioni ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi? na wanachukuliaje mambo kama haya? na jee, hauwezi kutumiwa mahakamani kupinga ushindi wa watu kama hawa..?

Kama nchi ingekuwa inafuata misingi ya sheria ushahidi kama huu ungetosha kabisa kumvua mtu ubunge.
Hata yeye mhusika, kama akijua kuwa mambo yake machafu yako public anatakiwa kuwajibika.
CCM wanaotaka kujisafisha mambo kama haya ndio wangechukua hatua za mara moja. Hakuna haja ya kusema sheria ichukue mkondo wake, wachukue hatua kama Chadema walivyofanya kwa madiwani wao ili kuonyesha kuwa wako serious kuirudisha nchi kwenye mstari.
Inasikitisha sana kama hawa watu walishawishiwa kwa kulipya Tzs.20,000...... this is Crazy.
 
Mbona wote waslam!

si ndio wenye njaa...
Kwa Tanzania si rahisi kujua nani ni muislamu na nani mkristo kwa kuangalia jina tu. Lakini kama majina yanaashiri dini ya mtu, vile vile kuna akina:
Henry N. Chacky
Constantine Lucas
Joseph E. Mpare
Rabiel S. Mvungi
Joshua Msuya

Nikiunganisha post zenu wakuu, ninachoweza kusema waliopokea hongo ni wote wenye njaa na pengine kukosa uzalendo, watoke dini wanayotoka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom