MBURE JASHA
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 200
- 46
Ndorwe Vanyua Usangi Mwanga Kilimanjaro Niliwahi kuweka hii post lakini sijui kwa nini haikutokea. Naomba leo niirudie tena. Tuna viongozi wengi sana wanaotokana na magamba ambao ushindi wao kwenye uchaguzi wa 2010 walipita kwa rushwa.
Wa Tz tulio wengi tunajua kuwa TAKUKURU ni Joka la KIBISA. Lakini kuna nchi wananchi kupitia sauti zao,maandamano na pia media zao zilizo huru walifanya mapinduzi au kuwaondoa madarakani viongozi waliopatikana kwa mizengwe.
Mac Ravolmanana wa Madascar ni mfano wa kwanza . aliondoshwa madarakani na DJ wa FM Radio tu. Hapa nawaonyesha baadhi ya Hint zilizomuingiza Prof Madarakani. na kupewa uwaziri