Wanao nijua Kyela watashangaa sana kuniita mm gambaGamba we
Mm sio GAMBANa wewe tumekupuuza kabisa gamba mkubwa wewe.
Wanao nijua Kyela watashangaa sana kuniita mm gamba
Nilikuwa na kesi mbili kwa ajili ya CHADEMA
Nikalipa faini kutoka ktk akiba yangu
Lkn hiyo siyo iliyonikasirisha
Bali kumbe kazi za chama tufanye sisi
Then wapo wanao teuliwa
Tukilalamika wanatupuuza
umekosa la kufanya unataka cheo hata ngeu hauna gwakukajaCHADEMA ingekuwa chama cha UMMA ningeshiriki maandamano bila kuogopa
Lkn sasa CHADEMA ni chama cha hovyo hovyo kabisa
Wanatuhitaji kwenye maandamano tu
Wakipata nafasi wanateuana wao kwa wao
Tukipaaza sauti zetu wanatupuuza
Nikagundua kuwa kazi ya mwana CHADEMA Kyela kumbe ni kuandamana tu,hasikiliziwi
Maandamano ya CHADEMA Sept 1 YAPUUZWE
Hadi nilishtakiwa kwa ajili ya CHADEMA kikoloumekosa la kufanya unataka cheo hata ngeu hauna gwakukaja
ilitakiwa utoe malalamiko kwenye vikao vya kamati wakiwemo na viongozi wa jimboHadi nilishtakiwa kwa ajili ya CHADEMA kikolo
Michakato yote ya kupata wabunge na viti maalum na madiwani kwa mfano
2010 na 2015 wananchi tulipuuzwa
Kyela mdada ambaye HATA HAKUGOMBEA akatuliwa kuwa diwani
Mdada hakushiriki kwa aina yyt ile uchaguzi
Aliyeshinda Tamali Mwambalaswa akaachwa
Jamani tuna mengi ya kusema,tunakaa kimywa kunusuru chama chao
Hasira yangu ni KUKOSA HAKIKwa hiyo hasira yako ni kukosa cheo.
Hadi Dar tulimchangia nauli akaendailitakiwa utoe malalamiko kwenye vikao vya kamati wakiwemo na viongozi wa jimbo
Hadi Dar tulimchangia nauli akaenda
Jibu ni lile lile hatubadili kitu
Tukapuuzwa
Sasa na sisi maandamano yao tunayapuuza
Kyela ngome kuu ya CHADEMA sidhani kama mtu ataandamana!!
Mnatunyima tusiseme kutuhusisha na CCM?Chama chetu sasa hakina dira wala muelekeoMfuate Juliana Shonza unaweza kuambulia chochote huko.
Mnatunyima tusiseme kutuhusisha na CCM?Chama chetu sasa hakina dira wala muelekeo
Mm ni CHADEMA AsiliWewe chama chako ni CCM.
Mm ni CHADEMA Asili
CHADEMA ile ambayo inaweza muita Magufuli ni fisadi
CHADEMA hii ya Lowassa haina moral authority ya kumuita Rais Magufuli na CCM kwa ujumla kama ni fisadi
Hadi nilishtakiwa kwa ajili ya CHADEMA kikolo
Michakato yote ya kupata wabunge na viti maalum na madiwani kwa mfano
2010 na 2015 wananchi tulipuuzwa
Kyela mdada ambaye HATA HAKUGOMBEA akatuliwa kuwa diwani
Mdada hakushiriki kwa aina yyt ile uchaguzi
Aliyeshinda Tamali Mwambalaswa akaachwa
Jamani tuna mengi ya kusema,tunakaa kimywa kunusuru chama chao