Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 22,458 Reaction score 48,401 Mar 10, 2022 #22 Kuna hali fulani huwa inatokea kwa binadamu inaitwa Illussions. Sijui kiswahili chake. Mfano: Ukiwa Jangwani una kiu na njaa sana karibu kufa unaweza ukaona maji na mto mkubwa mbele kumbe hakuna maji. Inawezekana kabisa hakukuwa na askari ila ulikunywa ukalewa ukapata msaada wa kupelekwa guest ila wewe ulichokuwa unaona ndicho unatuchosimulia sasa.
Kuna hali fulani huwa inatokea kwa binadamu inaitwa Illussions. Sijui kiswahili chake. Mfano: Ukiwa Jangwani una kiu na njaa sana karibu kufa unaweza ukaona maji na mto mkubwa mbele kumbe hakuna maji. Inawezekana kabisa hakukuwa na askari ila ulikunywa ukalewa ukapata msaada wa kupelekwa guest ila wewe ulichokuwa unaona ndicho unatuchosimulia sasa.