Apple wana nyodo sana mkuu, mfano mozilla aliacha tengeneza browser yake kwa ajili ya ios kwakuwa apple waligoma kuweka option ya mtu kuchagua default browser ndani ya lifaa chake jambo linalomlazimisha mtuniaji atumie safari browser kam default browser.Badala Apple ndo itoe malipo kwa kwa hao GOOGLE sababu haina google search Engine. Iweje tena apple ndo walipe? Huu ni wizi.
Apple wana nyodo sana mkuu, mfano mozilla aliacha tengeneza browser yake kwa ajili ya ios kwakuwa apple waligoma kuweka option ya mtu kuchagua default browser ndani ya lifaa chake jambo linalomlazimisha mtuniaji atumie safari browser kam default browser.
Wakizingua google anaweza tumia hata bing kitu ambacho kinaweza shusha watumiaji wa google search
Hivi kwenye map iOS waliishia wapi?sio Apple tu opera, mozilla, na wengine wengi wanalipwa na google kwa kuieka kama default search engine
Bado wanaendelea na map zao zile zile.Hivi kwenye map iOS waliishia wapi?
Fact:- Apple ndio kampuni tajiri namba moja duniani inayotengeneza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote unayoifahamuKampuni ya Apple Inc ambao ni watengenezaji wa vifaa vya mawasiliano kama iPhone, iPads, iPods na MacBooks wameendelea kufanya vizuri kwenye makusanyo ya fedha na kama unadhani kuna siku watafanya vibaya basi fikiri upya!
Apple mbali na kukusanya fedha kupitia mauzo ya vifaa vyake, pia wanakusanya pesa za kutosha sana kutoka Google, katika mkataba mpya ambao wameingia na Google sasa watalipwa dola za kimarekani bilioni 3 kwa mwaka, kwa kuwa tu Google wanataka Apple waendelee kutumia kisakuzi chao kama cha lazima (Default Browser) kwenye vifaa vyao.
Dili hii imepanda ndani ya miaka 3 ambapo mwanzo Google walikuwa wanailipa Apple kiasi cha dola bilioni 1.
Ukasanyaji wa pesa hizo unachangia asilimia 5 ya mapato ya kibiashara ambayo Apple wanaingiza kwa mwaka.
Mchambuzi Bernstein ameeleza kuwa mpango huo wa kulipa kiasi hicho kuna mazuri na mabaya yake kwani Google wanaweza kuona wanatoa kiasi kikubwa cha pesa kuilipa Apple huku wakifahamu Apple hawana Search Engine hivyo watalazimika kutumia Google, ila wakati huo huo ifahamike kuwa Apple inachangia asilimia 50 ya mapato kwa vifaa vyake kwenye ku-search kwenye Google hivyo wafikiri upya.
Chanzo: DIBUTE
ni kampuni ya 9 sio ya kwanza, tumia tu akili za haraka haraka Apple vs toyota, iphone za mtaani vs cruiser za serikaliFact:- Apple ndio kampuni tajiri namba moja duniani inayotengeneza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote unayoifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kwa mujibu wa nani au list ipi? Naomba tuwekee link mkuu. Nisije ongea hivi sehemu nikaulizwa nikakwama nitachekwa.Fact:- Apple ndio kampuni tajiri namba moja duniani inayotengeneza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote unayoifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Titicomb hii niliisikia kupitiani kampuni ya 9 sio ya kwanza, tumia tu akili za haraka haraka Apple vs toyota, iphone za mtaani vs cruiser za serikali
Kwa USA inaongoza kwa takwimi inaonekana inaongoza kuingiza faida kubwa, lakini kidunia inaonekana ni ya pili baada ya kampuni flani ipo China ambayo nimeisahau jina kidogo.Fact:- Apple ndio kampuni tajiri namba moja duniani inayotengeneza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote unayoifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
then bila kutoa source hata hao amplifier hawawezi badilisha ukweli.Titicomb hii niliisikia kupitia
Clouds FM na Millard ayo kipindi cha Amplifier.
Na walitaja kampuni 5 kubwa tajiri zinazoingiza pesa ndefu duniani.
Nafikiri Cocacola ilikua namba 3 katika ile listi pia Google ,microsoft, nao walikuwemo ndani ila hawakufua dafu kwa apple.
Hizo Toyota ,shell nk sikuzisikia hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana unatupiga fiksi mkuuFact:- Apple ndio kampuni tajiri namba moja duniani inayotengeneza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote unayoifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kampuni yenye thamani kubwa kuliko zote ila sio swala la Revenue.Fact:- Apple ndio kampuni tajiri namba moja duniani inayotengeneza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote unayoifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app