Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

Mbona hamkuweka mchakato wa 1.5 trillion? Hizo ni mamillion tu na CAG kwa sababu zake mwenyewe hakusikiliza maelezo. Wekeni matrilluon!!!
 
Reactions: PNC
Kwa miaka minane mtu aliitwa fisadi, kumbe wale waliokuwa wanamuita yeye fisadi ni mafisadi waliokubuhu.

Mzee alipoweka mzigoni mezani, jamaa wakalainika mazima!. Hivi sasa wamewekwa kwenye kona ambayo inawafanya wasijisikie kuwa na amani.
 
Makosa ya CDM mtayatafuta sana lakini hamyapati lakini ya ccm ambayo yako wazi hamthubutu kuyaweka hapa kwani yatajaza page. Unadhani kwa nini Bashiru kahongwa ukatibu mkuu cm? Yote ni kuficha uozo ulioonekana ndani ya box ya chama kuu wakati akifanya uchunguzi! Uwongo/ kweli?
 
Reactions: PNC
Where are the Oysterbay houses. Find out who owns them??????
Waulize wazee wote huko chama kuu who owns what and from where ndiyo utajua tunavyodanganywa walalahoi na vuvusela za campeni kupata kura zetu ili mifuko yao iendelee kujaa!!
 
Zinafikia 1.5Tril??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…