Hivi ndivyo CCM inavyoondoka madarakani

Hivi ndivyo CCM inavyoondoka madarakani

Tumewashika viilaza pabaya.....ni sawa na kifaru kukamatwa au simba kuning'inia kwenye makende yake anabaki anahangaika tu na milio buku jero na hakuna kuachiwa hadi apige magoti na kuliwa mzima.
 
Mwaka gani mkuu?

Mwenyekiti CCM JF
Usijali siku wala saa cha kuzingatia hapo ni kwamba KILA CHENYE MWANZO BASI NA MWISHO WAKE UPO pia usisahau HAKUNA MAREFU YASIO NA NCHA, wakati wa kun'goka umewadia.
 
Si mlisema 2015 au ilikua ndoto na bado mnaota tena 2020. Mtasubiri sana hamana sera sahizi.
Mwenyekiti CCM JF


Ungekuwa unatumia akili ungejua 2015,nani alishinda kati ya magufuli na lowasa.


Viongozi wako juu ndo wanaifahamu hiyoo siri wewe huwezi jua.
 
Usijali siku wala saa cha kuzingatia hapo ni kwamba KILA CHENYE MWANZO BASI NA MWISHO WAKE UPO pia usisahau HAKUNA MAREFU YASIO NA NCHA, wakati wa kun'goka umewadia.
Sio leo wala hiyo 2020 labda 3045

Mwenyekiti CCM JF
 
wameshasahau ile kauli kua " Tusipoiondoa 2015, itatuchukua miaka 50 tena kujaribu kuiondoa"
 
habri ndiyo hiyo hakuna namna nawaomba tu mapema mbebe vilago vyenu msepe hapa dsm ndo msahau kabisa na tunakuja kuwabamba huko huko dodoma mpaka mtakimbia nchi mwaka huu!!!

katibu wa itikadi na uenezi CDM JF
 
Ccm wamepigwa chali Dar,sasa wanahamisha makao yao dodoma,tutawafata huko huko,tutawapa elimu wagogo wataelewa tu
 
Labda kama mlishinda njaa.. ata ufipa wanajua nani Raisi.

Mwenyekiti CCM JF


Mtoto mdogo huwa akiuliza watoto wanapatikana wapi anaambiwa wananunulia ilihali sio na siri mtoto anapopatikana inajulikana.


Wewe bado mtoto Saivi amini mlishinda ili siku ukikua ntakwambia ukweli na akili yako itakuwa imeshapanuka.
 
Watafanya km zanzibar na hivi kaingia dikteta sijui ndo tuhame nchi ????????
 
Wameharibu mno hawa ccm. Nina wasiwasi na washauri wao kumpotosha mwenyekiti azuie shughuli zote za kisiasa kama njia yao ya kulipiza kisasi kwa watu wao wa karibu kutumbuliwa.
Hili kundi la wapiga kura lililotengwa na kunyimwa fursa za kiuchumi na ajira yaani vijana ndio watakaomnyima kura na 2020 kundi hili litakuwa kubwa kuliko ilivyo sasa. Hawa wazee waliompa kura kiduchu wengi wao watakuwa ahera wakijibu juu ya dhuluma waliyowatendea watoto wao.
Kwaheri ccm karibu cdm.
 
Back
Top Bottom