Ugonile, bhagonile abhana ujue kumekucha hapo.
Sasa harakati zinaanza kutokea Igawilo kwenda mjini au Uyole kwenda Mbalizi hapo wakipita vituo vyao kama makasini, stendi mpya, agrey, darajani, nanenane, sai, ilomba, ccm, mama JOHN, soweto, mwanjelwa, magorofani, simike, mbembela, nzovwe, iyunga, tazara, ituta, iwambi na mbalizi huko,
Sasa asubuhi kwanza kuna kande ya maharage au njegere, hapo wanakuwekea na parachichi na kachumbari na pilipili kwa mbali.
Au asubuhi pana kongoro na ndizi au utakuta ndizi choma au nyama choma na ugali mapema kabisa.
Achana na wale waunga sukari kwenye maharage Mbeya hata chai utaiona kwa nadra sana zaidi wana maziwa mgando yao wanaita ya kienyeji machachu sana, ratiba nyingine wanajua wao lakini hiyo ndio misosi yao kwa ufupi.