Hivi ndio vyakula Wanaume wa Mbeya wanakula kuanzia Asubuhi

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,034
Ugonile, bhagonile abhana ujue kumekucha hapo.

Sasa harakati zinaanza kutokea Igawilo kwenda mjini au Uyole kwenda Mbalizi hapo wakipita vituo vyao kama makasini, stendi mpya, agrey, darajani, nanenane, sai, ilomba, ccm, mama JOHN, soweto, mwanjelwa, magorofani, simike, mbembela, nzovwe, iyunga, tazara, ituta, iwambi na mbalizi huko,

Sasa asubuhi kwanza kuna kande ya maharage au njegere, hapo wanakuwekea na parachichi na kachumbari na pilipili kwa mbali.

Au asubuhi pana kongoro na ndizi au utakuta ndizi choma au nyama choma na ugali mapema kabisa.

Achana na wale waunga sukari kwenye maharage Mbeya hata chai utaiona kwa nadra sana zaidi wana maziwa mgando yao wanaita ya kienyeji machachu sana, ratiba nyingine wanajua wao lakini hiyo ndio misosi yao kwa ufupi.
 
Sasa harakati zinaanza kutokea Igawilo kwenda mjini au Uyole kwenda mbalizi hapo wakipita vituo vyao kama makasini, stendi mpya, agrey, darajani, nanenane, sai, ilomba, ccm, mama JOHN, soweto, mwanjelwa, magorofani, simike, mbembela, nzovwe, iyunga, tazara, ituta, iwambi na mbalizi huko,
Sasa asubuhi kwanza kuna kande ya maharage au njegere, hapo wanakuwekea na parachichi na kachumbari na pilipili kwa mbali.
Au asubuhi pana kongoro na ndizi au utakuta ndizi choma au nyama choma na ugali mapema kabisa.
Achana na wale waunga sukari kwenye maharage mbeya hata chai utaiona kwa nadra sana zaidi wana maziwa mgando yao wanaita ya kienyeji machachu sana, ratiba nyingine wanajua wao lakini hiyo ndio misosi yao kwa ufupi.
Wake kwa waume na watoto.
 
Mbeya bana vichekesho sana!
Nina majirani wawili, mmoja ni mtu wa dini sana, na mwingine ni mtu misuli-misuli hivi, wakati wote macho mekundu!(wanamtuhumu eti ana mambo-mambo!)
Wote wawili ni wakulima, wamelima miwa na mahindi.
Huyu mtu wa dini kila siku analalamika kuibiwa mazao yake. Huyu mwingine, thubutuu! hawagusi hata unyasi!
Nikajua kumbe watu wa Mbeya ni waoga sana wa mambo-mambo kuliko ziwa la moto wa mateso uwakao milele na milele!
 
Jazia nyama nyama, kwenye hiyo kande mafuta hayawekwi. Vitunguu,pilipili na parachichi vinamiksiwa kuleta taste. Tamu sana.
 
Ugonile, bhagonile abhana ujue kumekucha hapo.

Sasa harakati zinaanza kutokea Igawilo kwenda mjini au Uyole kwenda Mbalizi hapo wakipita vituo vyao kama makasini, stendi mpya, agrey, darajani, nanenane, sai, ilomba, ccm, mama JOHN, soweto, mwanjelwa, magorofani, simike, mbembela, nzovwe, iyunga, tazara, ituta, iwambi na mbalizi huko,

Sasa asubuhi kwanza kuna kande ya maharage au njegere, hapo wanakuwekea na parachichi na kachumbari na pilipili kwa mbali.

Au asubuhi pana kongoro na ndizi au utakuta ndizi choma au nyama choma na ugali mapema kabisa.

Achana na wale waunga sukari kwenye maharage Mbeya hata chai utaiona kwa nadra sana zaidi wana maziwa mgando yao wanaita ya kienyeji machachu sana, ratiba nyingine wanajua wao lakini hiyo ndio misosi yao kwa ufupi.
Jitu la mbeya likipiga bao inakuwa ni tope tupu
 
mzigoo huu hapaa unyama ni mwingiii
20240205_132727.jpg
 
Ugonile, bhagonile abhana ujue kumekucha hapo.

Sasa harakati zinaanza kutokea Igawilo kwenda mjini au Uyole kwenda Mbalizi hapo wakipita vituo vyao kama makasini, stendi mpya, agrey, darajani, nanenane, sai, ilomba, ccm, mama JOHN, soweto, mwanjelwa, magorofani, simike, mbembela, nzovwe, iyunga, tazara, ituta, iwambi na mbalizi huko,

Sasa asubuhi kwanza kuna kande ya maharage au njegere, hapo wanakuwekea na parachichi na kachumbari na pilipili kwa mbali.

Au asubuhi pana kongoro na ndizi au utakuta ndizi choma au nyama choma na ugali mapema kabisa.

Achana na wale waunga sukari kwenye maharage Mbeya hata chai utaiona kwa nadra sana zaidi wana maziwa mgando yao wanaita ya kienyeji machachu sana, ratiba nyingine wanajua wao lakini hiyo ndio misosi yao kwa ufupi.
Kabla ya kuandika ungefanya utafiti ujue wanyakyusa wako wapi, huko Igawilo si kwa wanyakyusa mpaka Uyole, Iyunga na Mbalizi si kwa wanyakyusa ni kwa wasafwa na wamalila.
Wanyakyusa wako ukipita Uyole kuelekea Tukuyu kuanzia Uwanja wa ndege hadi Kyela.
 
Upo sahihi kabisa mwambie ashuke kwa Wajane hao ni Wasafwa
 
Back
Top Bottom