Hivi ndio vitabu vinavyotuharibia watoto wetu

Hivi ndio vitabu vinavyotuharibia watoto wetu

Na we ni zao la hivyo vitabu? Soma title yako vizuri "tuhalibia" ndio nn
Greeting's, Mushi.

Why are you easy to judge the mistakes of other's rather than to recorgnize your'e own mistakes?.

What, these word's means?, we, ndio, nn?. Why dont you put "question mark" at the end of your tag?. Why code mixing, switching and so forth?.

Learn by mistakes.
 
Shem mwandishi wa kitabu kachora picha akionesha sehemu mbalimbali za mwili,lakini haoneshi kwa usahihi,mfano kichwa kaonesha kwenye jicho,tumbo lipo kiunoni n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shem mwandishi wa kitabu kachora picha akionesha sehemu mbalimbali za mwili,lakini haoneshi kwa usahihi,mfano kichwa kaonesha kwenye jicho,tumbo lipo kiunoni n.k
Hapo hizo mishale zilishake nao wakaprint hvyo hvyo [emoji23] [emoji23]
 
Soko hulia utawala uliopita uzembea kwa upande fulana
 
Kitabu kama hicho si bora wawagaiye bure wauza Maandazi na vitumbua ili watufungie vitafunwa tununuapo.
 
Back
Top Bottom