Hivi ndio unapaswa uweke simu yako.

Hivi ndio unapaswa uweke simu yako.

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Posts
5,143
Reaction score
13,837
IMG_20171103_180747.jpeg
 
Ahaa! Yaani usiilaze! Ni kweli hata ajali ya kuingia maji siyo rahisi!
 
Mkuu umeangalia simu inavyowekwa kweli au kuna lingine la ziada, huo mguu kwenye simu mbona siuoni..

Sim haikujiweka yenyewe. Iliwekwa na mtu, na kama iliwekwa na mtu na mimi ni mtu ninataka nijue namna ya kuiweka sim vizuri. Hivyo nitaanza kumwangalia mtaalam anavyoiweka, anavyoishika mkononi na anavyosimama pia. Upo?? Hadi nguo inavyovaliwa isije gusa sim ikaanguka
 
Sawa mkuu kweli wewe umekwenda deep zaidi..
 
Ukitaka kuiweka ivyo lazima uwe na kisimamishio kinacho angalia anga la juu
 
Back
Top Bottom