Hivi ndg mh. Meck sadiki yuko wapi?

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
1,599
Reaction score
437
Naona niko nje ya wakati.

Hivi RC ndg Meck Sadiki yuko wapi?
 
zaidi ya kwenda kumpokea mheshimiwa pale airport hua anafanyaga nini kingine??
 
zaidi ya kwenda kumpokea mheshimiwa pale airport hua anafanyaga nini kingine??

Kuahkiki wahamiaji wa Mabwepande wake comfortable katika mahema yao na kupokea donations toka kwa taasisi mbalimbali kama mabati, matanki ya maji na vyakula kwa wakzi wa Mabwepande!

Ni shughuliyenye kuchosha na foleni za njia ya Bgmy si mchezo hadi amekuwa akipewa gari ya polisi kusafishia njia akienda kupokea misaada! Hakika likizo ni MUHIMU baada ya wakazi wa Mabwepande ku-settle mahemani kwao:-(
 
Hivi Rugimbana hawezi kukaimu ukuu wa mkoa kuliko kumlipa pa diem mtu wa mkoa mwingine..
 
Anaandaliwa kufuata njia ya makamba, i.e after u-RC awe General secretary wa ccm magamba, so yuko kwa prof maji marefu.
 
Hivi hawaonei huruma hizo fedha za posho kwanini Dc wa kndoni asikaimu hiyo nafasi
 
Hivi Rugimbana hawezi kukaimu ukuu wa mkoa kuliko kumlipa pa diem mtu wa mkoa mwingine..

Yawezekana Rugimbana ni WAKUJA ZAID; Karagwe vs Tanga..Tanga ni karibu zaidi na DSM=wa Tanga ni wakuja wakaribu zaidi🙂. Nawaza tuu kwa sauti..
 
Kaenda india kukamuliwa jipu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…