Hivi ndege ya Rais wetu Gulf Stream iko wapi??

Ilipofika haikuwa na sehemu nzuri ya kuchemshia kahawa na juisi ya ubuyu.Kwa sasa inakarabatiwa iwekewe mfumo wa kisasa wa kupika kwa kutumia kuni na pumba za mpunga.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
JF ni kiboko jamani duuhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…