Hivi naweza kufanya mazoezi

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Hi JF
nina mke na kila siku kwa mke wangu napata mshindo mmoja (napiga bao moja)
katika hali hiyo naweza kufanya mazoezi ya viungo kama kukimbia, kunyanyua chuma na nk
 
Kwanini usiweze?!
Wewe tu...fanyisha mwili mazoezi huo.Mazoezi ni afya....
 
Hi JF
nina mke na kila siku kwa mke wangu napata mshindo mmoja (napiga bao moja)
katika hali hiyo naweza kufanya mazoezi ya viungo kama kukimbia, kunyanyua chuma na nk
Mkuu, mbona hiyo aina uhusiano na mazoezi.
Watu wanapiga mishindo minne mpaka mitano na mazoezi wanafanya kama kawaida
 
Back
Top Bottom