..Hivi navyo vinakera basi tu.....

..Hivi navyo vinakera basi tu.....

SnowBall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
3,052
Reaction score
2,846
[h=5]Wanabodi nadhani hatujambo!

Kuna baadhi ya vijitabia bana vinakera sana..Hii ni kwa mujibu wangu lakini...Baadhi nimevioredhesha hapa chini..kama na wewe unadhani vinakukera hebu tusaidiane kuvisema ili tuvitokomoze.

1.Umenikuta na mtoto wa kike humjui ni nani kwangu mara ushaanza 'SHEMEJI HUJAMBO'?....(Kwa nini usisubiri utambulishwe..kama ni dadaangu?..ebo!)

2. Wewe kwako kuchangia kazi za WASANII ni mwiko..mtu akija kwako umejaza miCD ya kuchoma mpaka basi. (Kwa nini usiheshimu vipaji vya wenzio?).

3.Badala ya kutupa vitu vilivyochakaa wewe kwanza ndo wavitunza. No wonder stoo yako imejaa vitu (makorokoro)..
kwa mfano karpet ukilitoa hulitupi n.k.. Unaweza kukuta pia una machupa ya maji matupu, ya shampoo, perfume pamoja na vipodozi vingine umeweka tuu wala huna shughuli navyo.(Moyoni mwako pengine unaamini kuwa ipo siku utayahitaji ).[/h]
5.Watoto wako wana majina yao lakini umewalazimishia majina ya utani kuwa ndiyo yazoeleke..mfano babu, bebi, chidi, dida n.k

[h=5]6.Kama wewe ni mtumiaji wa kompyuta basi full kujaza program ambazo ni 'pirates'...yaani huna kitu 'genuine' hata kimoja (Halaf bingwa wa kujisifia like unafahamu vitu vingi kumbe mwizi tu).

7.Yaani mkeo akifua nguo zako lazima aumie vidole..manake mifuko yako ya suruali na mashati imejaa vitu kama vile 'toothpicks', 'nyembe' n.k (wakati mwingine umeweka tissue ambazo unabeba kila uendapo mgahawani).

8. Wewe mgogoro wa mapenzi kwa rafikizo kwako ni sherehe..mfano rafiki yako akiwa na mgogoro na mpenzi wake unatamani kisiri-siri waachane ili kama vipi umchukue shemeji yako, (japo saa zingine unajidai kuwapatanisha kwa bidii).

9. Yaani wewe ni mtu wa simu kali lakini kikubwa unachotafuta ni 'show off' tu....manake hupigi simu isipokuwa katika muda ambao gharama za kupiga ni nafuu..zako wewe ni kubeep tu..( Saa zingine hulali kisha unasubiria muda wa bure).

10.Yaani wewe ukitoa msaada kila mtu duniani atajua..mfano unapomsaidia mtu na akafanikiwa basi utakuwa unasema kama sio mimi asingekuwa vile yule (Kusaidia kwako ni ili upate return).

Ni hayo tu bandugu!!!!



[/h]
 
Zingine hapa mi ni mtuhumiwa so siwezi kuponda. Mfano hiyo ya kuburn cd na program za wizi...
Ntajitahidi kuacha lakini
 
Tuko acha bana 'piracy'....wachangie wasanii!!

Zingine hapa mi ni mtuhumiwa so siwezi kuponda. Mfano hiyo ya kuburn cd na program za wizi...
Ntajitahidi kuacha lakini
 
Last edited by a moderator:
SnowBall mimi hizo za namba 1,3,7 na 9 binafsi vinaniudhi sana aisee.
 
Last edited by a moderator:
Tuko acha bana 'piracy'....wachangie wasanii!!
Sometimes mkuu unamkuta mtu na cd nzuri, ukienda kuulizia vibanda vya kuuza cd huipati. Ukimuuliza yeye alikoipata anasema aliburn kwa mshkaji, then nawe unaburn ili ukapate utamu
Wito: wasanii wajitahidi kutoa kazi zao kupitia kwa distributors wanye uwezo
 
ram pole sana..kumbe hata wewe haka katabia ka'kujaza makopo kwenye dressing table kanakukera??

No 3 ina ukweli kabisa
 
Last edited by a moderator:
Its like a vicious circle...
Ndo uache sasa mkuu!

Sometimes mkuu unamkuta mtu na cd nzuri, ukienda kuulizia vibanda vya kuuza cd huipati. Ukimuuliza yeye alikoipata anasema aliburn kwa mshkaji, then nawe unaburn ili ukapate utamu
Wito: wasanii wajitahidi kutoa kazi zao kupitia kwa distributors wanye uwezo
 
Yeah thanks to you for reminding us,coz naamini ni wachache ambao watakosa vyote kati yya hizo tabia hapo,so hii inatugusa karibia wote kwa eiza tabia moja au mbili na ndo maana Tuko kajisemea ukweli,hongera Tuko kwa kuwa muwazi.Naomba na miwe niwe muwazi,mi jamani no 3 inanigusaje yaani mpaka naona aibu eti!ila kwa kikumbusho hiki lazima leo nikaanze kuifanyia kazi natupa makoroko yote yasiyo na maana thanx again SnowBall.
Blue G na hivi tumewasema hapa...i hope wataacha..ila dah!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Blue G ..si unajua ndio kazi ya MMU
Kupeana makavu live ndio zetu...


... kwa kikumbusho hiki lazima leo nikaanze kuifanyia kazi natupa makoroko yote yasiyo na maana thanx again SnowBall.
 
Last edited by a moderator:
Mie No. 5 kusema kweli mara nyingi huwa namuita mtoto wangu jina la utani, ila sio wote wanaomuita hivyo sana sana ni mimi mama yake na wajomba zake.
 
The Boss umeonaeeh!
Yaani unajengewa mazingira flani kiasi kwamba kuchomoka inakuwa taabu..


Unakuta binti anakuona upo na wife anamwambia wife 'shikamooo..' halafu wewe anakwambia 'maamboo'.... mwisho unashukiwa una kitu nae huyo binti lol
 
Last edited by a moderator:
Kujifanya unanijua ilhali hunijui. Hata ukipishana na mimi barabarani hutanijua. Sasa kujifanya wanijua sana sijui nikueleweje. Ooh mara niko hivi mara niko vile. Acha kujifanya wanijua. Hunijui.
 
Ngabu ...ndo zile mtu anakuelezea kwa watu like anakufahamu in and out...
Kiasi kwamba ukipishana naye yaani hata hakujui..
Zilishawahi nitokea...


Kujifanya unanijua ilhali hunijui. Hata ukipishana na mimi barabarani hutanijua. Sasa kujifanya wanijua sana sijui nikueleweje. Ooh mara niko hivi mara niko vile. Acha kujifanya wanijua. Hunijui.
 
khaaa! nimecheka hadi basi.kali kuliko zote kwa mwanaume ni hii ya kuvizia vitoto vya shule eti ili ubahatishe bikra kwasababu toka uzaliwe hujawah kubikiri mtu
 
Umeonaeeeh!
Yaani vijitabia vya ajabu ajabu mpaka basi!

khaaa! nimecheka hadi basi.kali kuliko zote kwa mwanaume ni hii ya kuvizia vitoto vya shule eti ili ubahatishe bikra kwasababu toka uzaliwe hujawah kubikiri mtu
 
Back
Top Bottom