Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,582
- 12,444
Ndugu zangu wana jf ,, ndugu yenu nashindwa kuelewa na kwama wp kwan kila nikipata girl friend hauishi mwaka tushaachana ,, kupata mwingine ndo mtihani kabisaaa,,, pia licha ya kuwa na hao girlfriends wote sjawah ku do ,, nashindwa kuelewa nakwama wp
Mkuu wewe bikra??
Cc Kingsmann