Hivi NACTE hawajafunga maombi awamu ya pili?

Hivi NACTE hawajafunga maombi awamu ya pili?

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
1,871
Reaction score
1,241
Nimeingia NACTE website naona kama hawajafungu applications kwa wale ambao wameomba mara ya pili, Je hii ni kweli? Mwisho ilikuwa tarehe 13/8/2016. Mbona bado application profile iko wazi na unaweza badilisha? Tujuzane please
 
Usithubutu kubadilisha chochote maana walishawatangazia deadline so kuwa makini sana
 
Lakini watu wanabadilisha na nasikia inakubaliwa
 
Nimeingia NACTE website naona kama hawajafungu applications kwa wale ambao wameomba mara ya pili, Je hii ni kweli? Mwisho ilikuwa tarehe 13/8/2016. Mbona bado application profile iko wazi na unaweza badilisha? Tujuzane please
Kama cheti au diploma nimeona mwisho tatehe 18/8 mkuu
 
xx mbna wengne kwny prfl ze2 2shaonyeshwa mahal 2lipochaguliwa?kwn w uliaply ln?
 
hoja zenu ni nn, mbona mnatusumbua wakuu humu
 
Jamani naomba msaada hivi maombi ya Diploma ya ualimu Kwa wahitimu wa kidato cha Sita 2016 ni lini mbona sielew sielew
 
Mi naomba kuuliza swali hivi Joining instructions za Vyuo vya Afya zitatoka lini....nina shemeji yangu kachaguliwa huko Tanga sasa hata haieleweki hata ukiingia kwe profile ni hamna kitu
Msaada wadau!
 
Washafunga maombi na usithubutu kuchange utakosa chuo na maombi ya ualimu ya higher diploma washafutwa ndalichako anataka ualimu uanzie degree
 
Attachments

  • Screenshot_2016-08-18-20-52-41.png
    Screenshot_2016-08-18-20-52-41.png
    72.7 KB · Views: 50
Back
Top Bottom