Elections 2010 Hivi Mzee wetu John Malecela yupo kwenye Msafara wa kampeni wa Kikwete?

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Huyu mzee yuko wapi? Hajasikika toka alipotoswa na NEC ya ccm. Maskini alishajitabiria kuwa wanataka kumfanya grader; atumiwe kutengeneza barabara halafu ikikamilika azuiwe kupita juu yake! na ndivyo imekuwa. Huyu mzee alitumiwa sana kwenye chaguzi ndogo za wabunge pale ccm ilipokuwa inaelemewa. sijui sasa atatumiwa tena maana ni mtaalamu sana wa vita vya msituni, kampeni zake nyingi kwenye hizo chaguzi ilikuwa ni vikao vya siri na wasimamizi wa uchaguzi.
 
Hivi usipomtaja Mzee Malecela haupati raha?

Awepo kwenye kampeni kwa ajili ya maslahi ya nani?

Si mlisema apumzike na siasa?

kata ishu na siyo kuleta blah blah tu hapa
 
Back
Top Bottom