princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Hahahaaa kweli lakini ila kumbuka na hali ya maisha ya mtanzania wa kawaida,kula tu tabu je hilo dubwana linywa mafuta aka jini mnyonya damu
Tena atakuwa anaishi Dar kwa shemeji yake mme wa dadake.!Huyu jamaa ana viashiria vyote ni mchele/ bwabwaz, dume timamu hawezi andika upuuzi huu..
Mkuu niazime kesho nikamtokee mchuchu mmoja kijiji cha jirani. Ntakutoa na jero komredi Ndumi!Dah huwa napenda siku moja nije kusukuma hata vitz sema mambo ndo hivyo ngoja niendelee tu kupiga manyanga na phonex yangu
mh..!Mchepuko wa mkulu anakusalimia mkuu![emoji53][emoji53][emoji53]
jitu limezaliwa kwenye umasikini, porini ambako gari ni kitu cha thamani sana. Kijiji kizima yupo mmoja mwenye nayoUnajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!
Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama haya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 516378
Au
View attachment 516379
Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380
Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...
Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381
Na
View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua
Dr. H. Rweyemamu
Huko wapi nataka nikupe gari my?Team bajaj
Tusidanganyane bwana. Hakuna watu wanaopenda magari kama wazungu tena ya kifahariMtoa mada inaonesha hujawahi hata kuvuka mpaka kwenda nchi ya jirani. Siku ukifanikiwa kufika Europe ndo utajua aina za magari wanayotumia kwa asilimia kubwa. Gari zao nyingi ni economic ambazo huku Tz wewe ndo unayadharau na kuyaita magari ya vitoto au ya mabebez.