Hivi mwanaume asiye na nguvu za kiume.......

mweeeeeeeeeeeeeee!!!!!
kumbe bata nae anasimamisha?
i didnt knw.....napita mie byeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
 
Anaweza kumpa mimba mwanamke?
.............nimeuliza tu!!
zinazotia mimba ni mbegu, ule "mkongoro" ni transit tu, kwahiyo kama jamaa ataweza kufanya makeke mbegu zifyetuke, yep anao uwezo au pia anaweza kutolewa mambegu kwa sindano halaf yamiminwe kwenye uterus (hii kama hukusoma mzumbe huwez kuelewa) adhawaizi mwambie aka adopt kabla sheria za kuadopt hazijabadilika.
 
Mwanaume asiye na nguvu za kiume NANI HII yake ni sawa na munyororo. Munyororo ukiushika hauwezi kusimama wenyewe utaona una-colapse, hivyo hivyo kwa mwanaume. Ili NANI HII iweze ku-penetrate kwa ile NANI HII ya mama, lazima isimame, wewe PRETA unajua ikisimama inavyokuwa, urefu na ukubwa huongezeka ghafla na utaona ina nesanesa kwa usongo mkubwa na hapo tayari kwenu akina PRETA kuanza kulamba CORN. Hali inapofikia hapo ndipo huwa na uwezo wa ku-penetrate na ku-injaculate. Kama spems zina mbegu basi atakuwa na uwezo wa kumpa mimba mwenza wake. Lakini kama iko kama munyororo haiwezi kamwe kufanya hayo niliyosema hata wewe huwezi kufurahi kulamba CORN mama. Nilikuwa na hayo tu.

Asante Fugwe....sasa nimeanza kuelewa ila bado kidoooogo.
 
zinazotia mimba ni mbegu, ule "mkongoro" ni transit tu, kwahiyo kama jamaa ataweza kufanya makeke mbegu zifyetuke, yep anao uwezo au pia anaweza kutolewa mambegu kwa sindano halaf yamiminwe kwenye uterus (hii kama hukusoma mzumbe huwez kuelewa) adhawaizi mwambie aka adopt kabla sheria za kuadopt hazijabadilika.

Asante mpenzi kwa kunielewesha......sasa hapa naanza kupata fursa ya kuelewa....ila niulize kitu kimoja.....kukosa nguvu za kiume ni kutosimama kabisa au inaweza kusimama kidogo.....yaani kwa kifupi mtu hawezi kugawa dozi nene yeye kikishasimama baada ya sekunde kinadedi....hiyo ndio nataka nijue
 
asante mpenzi kwa kunielewesha......sasa hapa naanza kupata fursa ya kuelewa....ila niulize kitu kimoja.....kukosa nguvu za kiume ni kutosimama kabisa au inaweza kusimama kidogo.....yaani kwa kifupi mtu hawezi kugawa dozi nene yeye kikishasimama baada ya sekunde kinadedi....hiyo ndio nataka nijue
ok laaziz, ina maana unaongelea mwenye upungufu wa nguvu za kiume na sio yule ambae hana kabisa! got u, huyo kama atapata mwanamke mtundu basi definetly anao uwezo wa kufyetua risasi, lakini kazi ya ziada inahitajika. lakini acha nikipata nafasi nipekue mafaili yangu zaidi ili nikuje na fulu dataz.
 
Nasubiri mpenzi........wewe ndie utakaenihakikishia ufaulu wangu katika huu mtihani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom